Ameniomba nimsaidie kutafuta kazi. Bahati mbaya sana kuna watu wa humu niliochukua mawasiliano yao na kumwambia awatafute wanatumia hiyo nafasi kumfanyia harassment. Inasikitisha mnoo. Tuache huu upuuzi.Si useme ni wewe tu dada, haya mambo ni ya kawaida kila mtu ana shida zake dooh!
wewe una mume mkuu au jimbo liko wazi watia nia tuje?Ninampenda sana. Ni classmate wangu. Hahah, siyo mimi ninayetafuta mkuu.
Unauhakika gani kwamba amefanyiwa unyanyasaji nawatu wa humu..??Ameniomba nimsaidie kutafuta kazi. Bahati mbaya sana kuna watu wa humu niliochukua mawasiliano yao na kumwambia awatafute wanatumia hiyo nafasi kumfanyia harassment. Inasikitisha mnoo. Tuache huu upuuzi.
Sawa, nikajua kanda ya ziwa/Serengeti. Shukrani kwa reply.Yupo Dar ea Salaam, maeneo ya Gongo la Mboto.
Mimi natafuta mhudumu wa vinywaji kama atataka, au kusaidia kazi za nyumbani. Kama yuko tayari kati ya hizo nicheki 0713322856Nina rafiki yangu wa kike nilisoma naye shule ya msingi. Hakufanikiwa kujiunga na masomo ya sekondari, hivyo akaamua kuolewa tu. Kutokana na changamoto mbalimbali, ndoa yake imevunjika mwaka jana. Sasa amekuja mjini kutafuta kazi yoyote halali. Naomba kama kuna mtu anaweza kumpa kazi ya kufanya/ kibarua chochote, tuwasiliane. PM kwa mawasiliano zaidi.
Umri: Miaka 28
Jinsia: Ke
Elimu: Darasa la saba
Anakoishi: Ukonga, Dar es Salaam
Yuko vizuri kiafya, mnyumbulifu, mwaminifu na ni mtunza muda mzuri.
Ni ainagani ya unyanyasaji alifanyiwa...??Ameniambia baada ya kukutana na mtu niliyempa namba zake.