Rafiki yangu anamuoa ex wangu daaah!!!

Elimu za vyuo sasa hivi mnazidhalilisha sana tena sana tu!

..."nikubari kuwa Best-man"...kuna "broken" ngapi za kiuandishi umezifanya hapo kwa sentesi moja tu fupi bila ya kutaja zingine kibao?

Ndiyo maana kuna watu hadi wanaanzisha uzi humu "kuwananga" baadhi ya wahitimu kumaliza vyuo bila ya kuelimika!
 
Kiufupi kipindi upo chuo wakati haupo james na rose walikuwa wanafanya maombi peke yao, hapo ndio walianzisha penzi lao na kutumia nguvu ya mwanamke wakapanga iwe sili asijue mtu, rose alifanya hivi ili kulinda urafiki weni wwn jamesi lkn pia kulinda penzi lake na james

Sent from my TECNO BD1 using JamiiForums mobile app
 
Rafiki yako hamjui dem wako, mlikua mnaishi kinafki sana. Na huenda dem alikua anawachanganya wewe na jamaa yako.

Wana huwa tunaambiana ili kupunguza rate za matatizo kama hayo. Na angekua anajua basi jamaa angekuja kwako kuomba go ahead kwanza kabla hajamchukua dem wako.
 
Hahahaha uandishi ni tatizo la wengi, na mbaya zaidi huwa hawariri maandishi yao.

Yaani mtu anaweka uzi bila kuupitia tena kujua makosa.
Kuna watu huwa hawasomi kabisa uzi wakiona una makosa mengi ya uandishi.
 
swali langu. kumchangia tsh 500,000 kunahusiana vipi na issue yenyewe kuu? maana ungesema tu nlimchangia ikatosha unaongezea sifuri kwenye 50,000 ili uonekane una pesa? wakati na demu mwenyewe alikuacha sababu umechoka na hujishighulishi? msiwe mnaandika uongo.
 
Kwahyo saivi ndoa ilifungwa? Na ulikua best man kama ulivyoaminiwa?
 
Kahudhurie tu after all umesema amekuuliza familia yako inaendeleaje ukamwambia Inaendelea vizuri.

Endelea na familia yako.
 
Kupitia maombi, Rose alifanikiwa kuwakamateni wote, na wote mlikua hamjuani.

Kipindi hicho uliamini kuwa ulikua peke yako unayemla, kumbe James na yeye alikuwemo ila aliamini alikua mwenyewe. Huenda kuna njemba nyingine mbili tatu that make the five of you kila mmoja aliamini ni yeye tu mdiye anayemla.

"Kula tumbakishie baba", James ndiye kadondosha kijiti wanne mliobaki kila mmoja anajiona yeye ndiye alikua Mwamba na baada ya kuitema Big G, James kaikota, kaifuta mchanga na kuitia mdomoni na kuendelea kuitafuna.

Wanne bado hamjuani, ila wote mnamjua James, James hamjui yeyote...that's the game. Relax bro, easy your feelings, keep the ball rolling
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…