Rafiki yangu amenichongea kwa mke wangu

Rafiki yangu amenichongea kwa mke wangu

Huyo ungempa za uso halafu unampotezea.

Tena ungescreenshot ile msg then ukamtumia

Kisha mdelete kila mahala
 
Mwambie Wife Afute Namba Yake Nahuyo Jamaa Mwambie Afute Namba Ya Wife Alafu Uwambie Hautaki Kusikia Mawasiliano Yao Ni Hii Tabia Ya Urafiki Mpaka Wa Kumiliki Mpaka Namba Binafs Siupendi Kabisa Kama Anashida Na Shemejiake Si Apige Sim Kwangu Mimi Ndio Niwaunganishe? Watu Ndio Wanabanduliana Kwa Staili Ya Ushemeji
 
Juzi jumanne baada ya Dk slaa kuongea, jioni yake nilipitiliza moja kwa moja Bar kutokana na kuchanganyikiwa, hiyo ilikua ni baada ya kutoka kazini jioni.

Tulikua wakereketwa wawili tulioamua kwenda bar Ku digest that day's chain of events, mimi na Dada na mmoja tupo pamoja hapo kazini, tukawa tunakunywa hapo mimi na huyo binti. Baadae Rafiki yangu wa karibu akatujoini tukaendelea kunywa hadi saa mbili usiku tukatawanyika, jamaa akaondoka mwenyewe, mimi nikaenda na binti nikamshusha kwake.

Nashangaa nilipofika home wife kakasirika ile mbaya kwamba nilikua na mwanamke bar na baadae nikaenda nae gesti, nikajaribu kumwelewesha kuwa ni kweli nilikua bar na tulikua na work mate kwa maongezi ya kawaida tu, mwisho akanielewa yakaisha, ingawa nililazaimika kumuomba baba yangu mkubwa tunaeishi nae hapo nyumbani kutusuluhisha na kwa msaada wake jana jambo hilo limeisha.

Ndipo nikajaribu kumdodosa wife umejuaje kuwa nilikua bar flan na mtu flani, akasema Rafiki yangu niliyekua nakunywa nae ndio alimtumia msg baada ya sisi kuondoka, na wife akanionesha hiyo whatsaap msg nikashangaa sana, mshkaji wangu anawezaje kunifanyia hivyo, ina maana yeye jamaa alidhani yule binti ni bibi yangu? Kwa nini hakuniuliza?

Leo asubuhi nimempigia simu kumtega tu, nikamuuliza kwa mawazo yako unadhani nani kamweleza wife kuwa nilikua bar na mwanamke? Akajifanya kushangaa na kumlaani huyo mtu aliyefanya kitendo hicho.

Wadau nimfanyeje huyu mtu?
Huyu jamaa ni family friend, Nina namba ya mkewe na yeye ana ya mke wangu, na huwa tunashirikiana vitu vingi.

Sasa wadau huu ni ungwana kweli? Alikua na lengo gani hasa? Au anataka na mimi ndoa yangu ivurugike kama yake maana ni juzi tu wamepatana na mwenzie baada ya yeye kushikwa live na mkewe akiwa na bibi mwingine!

Yaani ameniudhi sana, mtu bado tunahangaika na haya ya Dk slaa kuasi halafa anataka kunifitinisha na wife, nonsense!

kaka wewe ni mtu mzima, huyo jamaa anamtaka mkeo, au keshatembea nae, chunguza
 
mpe za uso huyo... akijifanya kukana kosa mpe ushahidi wa hiyo whatsapp text, baada ya hapo kaa mbali mweleze na mkeo kuwa mawasiliano na huyo snitch iwe mwisho
 
Kwanza namba ya mkeo kaipata wapi? Usikute ana mahisiano na make wako.

Fanya uchunguzi.
 
Huo ni urafiki wa kikuda na kuna uwezekano anamtaka mkeo hivyo anatengeneza mazingira au tayari kuna kauhusiano ka kipumbavu kanaendelea baina yao. Mtu hawezi kukurupuka tu kumweleza mkeo ujinga kama hakuna mazoea ya kuzungumzia ujinga yaliyoanzia kitambo.
Hiyo ni meseji moja uliyoisikia, je kuna mangapi ambayo wamekuwa wakizungumza? Piga chini huyo rafiki.

Sitaki mazoea ya rafiki zangu na mke wangu.
Kama ameweza kumtumia huo ujinga hashindwi kumtaka na kumtongoza.
Anawagombanisha ili apate upenyo wa kujiingiza.

Atakua anamtaka mkeo

Mi nikikukuta na namba ya my wife wangu hatuwezi kuelewana abadani. Ni marufuku yaani.

Mkubwa, hukujua kuchagua rafiki. Kuna watu siyo maadui lakini hawafai kupewa nafasi ya kuitwa marafiki.

Kama wengine walivyohisia, huyo anamtaka mkeo. Kwa kuwa mkeo kakuonyesha msg ni ishara bado hajafanikiwa maana angeitunza iwe siri yake. Achana na mtu mwenye IQ ndogo.

Mwambie Wife Afute Namba Yake Nahuyo Jamaa Mwambie Afute Namba Ya Wife Alafu Uwambie Hautaki Kusikia Mawasiliano Yao Ni Hii Tabia Ya Urafiki Mpaka Wa Kumiliki Mpaka Namba Binafs Siupendi Kabisa Kama Anashida Na Shemejiake Si Apige Sim Kwangu Mimi Ndio Niwaunganishe? Watu Ndio Wanabanduliana Kwa Staili Ya Ushemeji

kaka wewe ni mtu mzima, huyo jamaa anamtaka mkeo, au keshatembea nae, chunguza

Mkuu rafiki yako anaweza kuwa na mahusiano na mke wako. Chunguza.
 
Ulipaswa umchane live, kwan unamuogopa? ulitakiwa umsaidie kukomesha tabia yake ya kimbeya angal yeye ni mtto wa kiume, n hatari sana. Na siyo ajabu ana lake moyon na huyo mkeo, kuwa nao makin sana.. M na urafiki ungeisha siku hyo hyo, ningempa vyake na urafik kwsha hbr yake
 
Screenshot hiyo WhatsApp conversation then mforwadie jamaa ukishamaliza unasubiri october 25 unampigia Lowassa kura.
 
Juzi jumanne baada ya Dk slaa kuongea, jioni yake nilipitiliza moja kwa moja Bar kutokana na kuchanganyikiwa, hiyo ilikua ni baada ya kutoka kazini jioni.

Tulikua wakereketwa wawili tulioamua kwenda bar Ku digest that day's chain of events, mimi na Dada na mmoja tupo pamoja hapo kazini, tukawa tunakunywa hapo mimi na huyo binti. Baadae Rafiki yangu wa karibu akatujoini tukaendelea kunywa hadi saa mbili usiku tukatawanyika, jamaa akaondoka mwenyewe, mimi nikaenda na binti nikamshusha kwake.

Nashangaa nilipofika home wife kakasirika ile mbaya kwamba nilikua na mwanamke bar na baadae nikaenda nae gesti, nikajaribu kumwelewesha kuwa ni kweli nilikua bar na tulikua na work mate kwa maongezi ya kawaida tu, mwisho akanielewa yakaisha, ingawa nililazaimika kumuomba baba yangu mkubwa tunaeishi nae hapo nyumbani kutusuluhisha na kwa msaada wake jana jambo hilo limeisha.

Ndipo nikajaribu kumdodosa wife umejuaje kuwa nilikua bar flan na mtu flani, akasema Rafiki yangu niliyekua nakunywa nae ndio alimtumia msg baada ya sisi kuondoka, na wife akanionesha hiyo whatsaap msg nikashangaa sana, mshkaji wangu anawezaje kunifanyia hivyo, ina maana yeye jamaa alidhani yule binti ni bibi yangu? Kwa nini hakuniuliza?

Leo asubuhi nimempigia simu kumtega tu, nikamuuliza kwa mawazo yako unadhani nani kamweleza wife kuwa nilikua bar na mwanamke? Akajifanya kushangaa na kumlaani huyo mtu aliyefanya kitendo hicho.

Wadau nimfanyeje huyu mtu?
Huyu jamaa ni family friend, Nina namba ya mkewe na yeye ana ya mke wangu, na huwa tunashirikiana vitu vingi.

Sasa wadau huu ni ungwana kweli? Alikua na lengo gani hasa? Au anataka na mimi ndoa yangu ivurugike kama yake maana ni juzi tu wamepatana na mwenzie baada ya yeye kushikwa live na mkewe akiwa na bibi mwingine!

Yaani ameniudhi sana, mtu bado tunahangaika na haya ya Dk slaa kuasi halafa anataka kunifitinisha na wife, nonsense!

Mweleze tu ukweli kuwa jambo alilofanya si jema ila naomba uwachunguze kwa siri mkeo na huyo jamaa huenda wanagegedana
 
Huo ni urafiki wa kikuda na kuna uwezekano anamtaka mkeo hivyo anatengeneza mazingira au tayari kuna kauhusiano ka kipumbavu kanaendelea baina yao. Mtu hawezi kukurupuka tu kumweleza mkeo ujinga kama hakuna mazoea ya kuzungumzia ujinga yaliyoanzia kitambo.
Hiyo ni meseji moja uliyoisikia, je kuna mangapi ambayo wamekuwa wakizungumza? Piga chini huyo rafiki.

Hili ndilo jibu la mada hii, mtoa mada zingatia ushauri huu tafadhali.
 
kwanza, haya mazoea ya mkeo ya rafiki futa kabisa. Mimi nina mfano, jamaa mmoja alikuwa ameanzisha mazoea kama hayo na wife. Nikimuuliza mara ooh mwana jumuiya mwenzetu. Ni rafiki yangu, tukikutana bar story zote lazima za huko lazima zifike hme. Siku moja nikawaita wote, nikawaambia kuanzia siku hiyo sitaki hayo mazoea, kama ni mwana jumuiya wako wengi. Wakafikiri ni utani. Siku ya siku narudi hme mida ya jioni hvi, nikamkuta hme wanapinga story na mm nko tungi, nikawauliza - ina maana siku ile hamkunielewa? wife kajibu no baba fulani, unajua kuna kitu alikuwa ananisaidia, niliwaangushia kichapo, jama kaponyoka kakimbia kama mwizi. wife nikamtupa nje nikamwambi amfuate wakaendelee kusaidiana. kafikiri masihara, kaenda kuja na mjumbe. na mimi nikamtolea mabengi yake nikamwabia sepa. kesho yake nikaona sio isue akarudi. ilikuwa jumatano, ijumaa usiku jamaa kafumaniwa kwa jirani. aibu ilikuwa kubwa sio mfano. keshahama mtaa lkn.

kwa hvo ushauri wangu tena, hayo mazoea no
 
Back
Top Bottom