Rafiki yangu amenichongea kwa mke wangu

Rafiki yangu amenichongea kwa mke wangu

Pole sana, muonyeshe hiyo msg umuumbue vizuri kwa ushahidi
 
Mfowadie hiyo meseji kupitia simu yako ili ajue mmeshapatana
 
Huyo jamaa anamtaka mkeo ndio maana anataka mkeo alipe kisasi kwa kumpa yeye penzi.Chukua maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom