ntampa muda wangu mwingi,yani ntampa kampani ya kutosha ikibidi ntamwita hata geto kwangu aamie kwa muda(maana pindi mtakapoachana tu anaanza kuwaza sana,ila mkiwa wote muda mwingi mtakuwa mnaongea na sio kuwaza) kujimix kwenye sehem mbalimbali kama kwenda jogging,kuswim,kucheza pool kucheki movie etc inategemea na interests ila usiruhusu ulevi tuu(hata kama mmeenda club).mwanangu wa ukweli lazma nimpe ubize angalau stress zisimpe madhara makubwa.mtu mwenye stress akiwa alone anakuwa zaid ya lonely.
ntaitafuta hyo mkuuHayo ndio maneno mkuu.Ushawahi angalia movie moja inaitwa THE ODD COUPLE ni old one 1968.itafute.
Zaidi ya maneno ya kumtia moyo kwamba yataisha au atapata mwingine bora au mwache atarudi.
Je ni activities gani unafanya rafiki yako akiwa yupo kwenye nyakati ngumu za mawazo ya kuachwa?
Utamwacha ajinyonge?
Au awe mlevi?
Ajifungie ndani na kulia kila siku?
Au aache kazi na kusafiri mbali?
Amuwinde ex wake kutaka kumuua?
Au aanze kutembea na wapenzi mbalimbali?
Wana jf utafanya nn kwa rafiki/mshkaji/swaiba yule mloshibana?