KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Bas unapoleta uzi wa kufikirika usiuvae uhusika directly... Ulete kama mtizamo au hoja binafsi, ili usitukanganye wasomaji na wachangiaji.Jamani ile uzi haina mana yenikuta kwake, ni mambo amabayo yapo katika jamii inayotunguka jamaniii sio kila thread ni mtu yamemkuta Ila tuu unaangalia Na jamii yenye inatuzunguka
Ahsantehata mimi nakupenda aiseee
achana nao wote afu njoo pm ntkwambia cha kufanyaPale alijua kabisa hakuna ushemeji coz ninaedate nae ameoaa... kwann asijivutie mzigo Na yeye akaoaa???
Maneno matamu ya kutongozea hayana ukweli kwenye maisha halisi.Tena mpaka leo anasema namshukuru sana mr. X kwan bila yeye nisingepata wife material I was looking for
OK.asante mkee ntaongea nae nione atalizungumziaje hilo swalaUshauri, kama kweli kakupenda. Mwambie condition moja. Aweke mutual agreement na huyo mchepuko wako (ambaye ni rafiki yake). Akisort out hilo, you are free duniani na mbinguni.
NOTE:
Wanaume baadhi huwa sometimes tuna guts za ku-let it go tunaachiana kikubwa katika mazingira kama hayo. Kama huyo mchepuko wako unakupenda, utakuachia uende salama. Though ni ngumu somehow kwa baadhi.
Ulichokizungumza Nina ukweli ndani yake. Yaliyo mpata rafiki ako kwa mkewe kuchekwa kwa kebeh labda inaonesha kabisa watu wenyewe hawajiheshim,(hao vijana ).labda niseme hivi,huu mchepuko wangu ni mtu Na busara zake, kunidharau sio rahisi Ila sijui atachukuliaje hilo swala maana hata jana Na juzi ananitumia sms za "usiniache,kukupenda kwangu isiwe tabu uKajaniumiza, oh ur by happiness [emoji134], yaani sijui Na hata sielew itakuaje. "yaan kama moyo wake una wasi wasi coz najaribu kumua void so kama anastuka.Maneno matamu ya kutongozea hayana ukweli kwenye maisha halisi.
Kuolewa ni jambo la kheri, lakini tujadili aina ya huyo mchumba kwanza.
Mzaha mzaha na ulegevu katika kutafuta mwenza wa maisha,wengi huwagharimu sana,tena sana wanapoanza kuyaishi maisha halisi.
Utakapoolewa na huyo rafiki wa mchepuko wako, nikuulize. Je watakuwa wamevunja urafiki wao kwanza? Ama je kama hawajavunja urafiki wao, baada ya kuolewa nae kwa macho makavu kabisa, huyo mchepuko wako,utabadili gia angani na kumuita shemeji? Utakapokutana nae mkawa wawili utamuita shemeji ivyoivyo?
Marafiki ni sawa na ndugu. Tusikupotoshe, mwanamke yeyote ni mrembo mbele ya macho ya mwanamme na wewe mwenyewe ni shahidi wa maneno haya. Chagua mchumba mwenye haiba na staha isiyokuwa na mawaa,ili baadae usije kujutia maamuzi yako.
Tena huyo (shemeji)rafikiye mchepuko wako, hana adabu "kahuni".
Tabia yake ya kutoheshimu mahusiano ya watu wengine yatakuja kukurudi na wewe. Yawezekana siku moja akaja "kumla" hata ndugu yako kwa visingizio vya kitotototo! Huu uzi ulioleta,unafanana na yaliyompata rafiki yangu,miaka imepita.
Alipata mchepuko akaubeba ad "gesti" alikoacha marafikizake. Walipofika wakamshawishi huyo mchepuko kuwa wote wanamtaka, si kwa kulazimisha bali kwa maelewano,kwa hiyari yao na kwa hiyari yake wote wakakubaliana "wakamla" kwa zamu.
Hakuna kesi ya ubakaji'apo ila likaja tatizo. Katika "fujo"hiyo rafiki yangu akanogewa akaamua asogeze kabisa, namaanisha kuoa!
Kimbembe kikaja walipoanza maisha halisi.
Wale jamaa zake wakawa wakifika pale kwake wakimkuta huyo "shemeji" yao wanamsalimia shemeji yao kwa kebehi huku wakicheka. Hakuishi kwa amani ajili ya kumbukumbu ya dhambi yao ya "asili". Walizaa watoto adkufikisha wawili,lkn baadae walikuja kuachana kwa sababu ya kutokuwa na amani ktk ndoa yao.
Mifano ni mingi,huo ni mmoja,lakini kiuhalisia hapo ndoa haipo,labda ungesema huyo shemeji mchepuko amekuvutia unataka kupiganae uhuni.
Hajaoa, ila mchepuko ndo ameoa.Jiulize tu, uliumbwa uwe mchepuko na wala si mke?
Kwani yeye hajaoa?
Ukishapata jibu, basi ujiongeze.
Kama kao basi nawe una haki ya kuoa na kuolewa.
Kuolewa sio Tatizo ila kabla hujaharibu kwa anaekuweka mjini make sure huyo jamaa yuko serious,sio akutoe huko halafu halafu ukose kote kote,akupeleke karibu ya ndoa ndio unaaaga kwa mfadhili,kua unamshukuru kwakukusaidia kwenye kipindi chote cha dhiki na furaha,ila since hakuna future baina yenu bora na wewe upate mwenzio ili uwe na familia yakoHabari zenu humu ndani,
Mimi mwenzenu ninatoka na mume wa mtu ndo mbaba wangu na ananiweka mjini mwaka sasa, kuna kipindi cha nyuma tulienda zetu huko sehemu ya mbali kidogo kubadilisha hali ya hewa.
Sasa akanitambulisha kwa rafiki zake ambao walikuwa wakifanya kazi pamoja, ila baadae wakatenganishwa. Kijana mmoja akaonyesha kama kanizimia mana alivyokuja akanisalimia akanishika mkono kama shemeji yake.
Sasa tukakutana ghafla siku nyingine tukapeana namba. Sasa kijana akanipenda tangu ile siku kiukweli nilipomuona pia nilijikuta navutiwa nae. Basi tumewasiliana na nampenda na tumepanga mikakati mingi na soon tunataka tukatambulishane ili mwakani Mungu akipenda tuoane.
MTIHANI UNAKUJA HAPA. Mchepuko ananipenda mpaka basi na hii ni kutokana tunaheshimiana na naiheshimu familia yake. Je naanzaje kumwambia huyu mtu? Na mi najua hatoweza kunioa kwa mara ya pili, na mi kijana tumeelewana vyema.
Ebu wenye upeo wanipe mawazo na ushauri jinsi ya kumwambia huyu baba pia nahitaji maneno ya busara maana asije akafa kwa presha.
Wale mliozoea kutukana sihitaji comments zenu za matusi, muwe wastaarabu kwani hakuna asiejua kwamba kuna kuchepuka au kutembea na mke au mume wa mtu huwezi kushauri pita tu kwa ustaarabu.
Karibuni kwa msaada
Fanya sasa maamuzi ili mjiachie na kijana, sharti tu ukubali kuwa hata mmeo akijatembea na kabinti usione wivuPale alijua kabisa hakuna ushemeji coz ninaedate nae ameoaa... kwann asijivutie mzigo Na yeye akaoaa???
Mi mwenyewe kabinti labda baada ya miaka 35 ijayo Na ntakua mzee tiariFanya sasa maamuzi ili mjiachie na kijana, sharti tu ukubali kuwa hata mmeo akijatembea na kabinti usione wivu
Atataka vya nje pia hata na ubinti wako, maana anakufaham vyemaMi mwenyewe kabinti labda baada ya miaka 35 ijayo Na ntakua mzee tiari
Asante mkuuKuolewa sio Tatizo ila kabla hujaharibu kwa anaekuweka mjini make sure huyo jamaa yuko serious,sio akutoe huko halafu halafu ukose kote kote,akupeleke karibu ya ndoa ndio unaaaga kwa mfadhili,kua unamshukuru kwakukusaidia kwenye kipindi chote cha dhiki na furaha,ila since hakuna future baina yenu bora na wewe upate mwenzio ili uwe na familia yako
na mume halali kama wenzio,ila daima utamkumbuka na iwapo kama kuna msaada wowote wa mawazo au mchango
asisite kukueleza ila daima atakua moyoni mwako simple. ataelewa....fanya haya bado week kwa harusi sio umevalishwa pete unaenda kuaga utaishia na pete kidoleni maisha..na bila kusahau huku unakokwenda kichambo kikiwepo utasikia kama yule ulimkimbia mie utanikikisha wapi usijali itachukua mda kwa huyu mr kukuonyesha fafiki zake lakini uki prove kua wewe kweli umetulia atakuonyesha ila usitie AIBUA japo hainaaga ushemeji..
Jamani ulitaka wanijibujee??? Niliomba majibu yenye busara Na hekima bila insults.. pia we kama unaona sistahili nishauri piaaDah! Mnamjibu kistaarabu kweli kama anastahili vile