Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Sawa nimekuelewa sas huyu baba namwambiaje??? Au namueka katika mazingira gani???
 
12 mpaka 18 miezi inatosha ukikosea kuolewa/kuoa umefeli maisha
 
Thanks alooot umenikosha
 
Thanks alooot... umenikoshaa
 
With all due respect, huyo kijana sio muoaji bali ni muonjaji tu.
Anajua unatoka na mfanyakazi mwenzake na yeye anatangaza kukupenda tena anataka mpaka uwe mke?!
Fanya maamuzi taratibu kabla ya kumpa babu mkono wa kwaheri.
Hua namuulizaga maswali fulani., Na majibu anayonipa ni kwamba ameona mimi nitamfaa,Na kwann niendelee kukaa Na Mr X wakati hatutatimiza agano la mungu??? Na huwezi amini sijawahi muonjesha hata siku moja.Na nilikaa nae takriban siku 2 tulikua tukipanga mipango yetu Na hakua Na tamaa Na mimi mpka naondoka Na akanisindikiza wala chupi hajaigusa Na nauli ya kutosha kanipa.. Na alikua Na amani tuu alidai hana haraka.
 
Mi ni mmoja wa wale wa coment za matusi ila leo yemeniishia ngoja nikupe ushauri mzuri

Kwanza kabisa hongera kwa kumpata mtu ambaye manaelewana na mnamalengo hiyo ndio hatua ya kwanza kabisa kufikia kitu kinachoitwa NDOA
Pili ongera kwa kujitambua thamani yako

Tatu hapa ndipo unapoa paswa kusimama lazima umwambie ukweli tena mapema ili uanze kujiandaa kuingia ndoani
 
Mwambie babu aongee na mke wake...kuhusu kuongeza mke wa pili. Mke wake akikataa basi wewe mwambie unataka kuolewa hivyo ni vizuri kuheshimu maamuzi. Naimani babu kama anania atatangaza na wewe uwe tayari kuwa 2nd Lady wa babu.
 
Ukishaita mme wa mtu means hawezi oa tena Na yeye ni mkristu. Hapo hakuna malengo kabisaa ila yeye kuna kipindi alidai anataka anioe tena ila ndoa ya kichini chini ilimradi asinipoteze. Nikamwambia haitowezekana utaficha leo kesho itajulikana. Na itani cost ndo mwanzo wa kulogana. Akashikwa Na mi butwaa. Yaan ananitaka Na hataki kunipoteza Na mwezi ujao alikua anataka anipangie nyumba Na kunifungulia biashara yaani mmh
 
ukweli ni mchungu siku zote... ila kiukweli wewe unatakiwa kuwa makini mawili yaweza tokea jamaa akakuoa lakini msiwe happy akiamini wewe ulizoea vya kunyonga hata ukiwa uanalalamika kitu halisi yeye atakuona sababu ulizoea vya kunyonga,,, pili jamaa anaweza kuwa kewli anakupenda mkaishi maisha bora,,,,,,,,,, jamaa anaweza kuona kama uliweza tambulishwa as rafiki ukamzunguka mzee kwa yeye ana nini usimzunguke ....

mzee wa watu mwambie mimi natakakuendeea na maisha yangu naona sasa ni muda muafaka wa kuendelea na maisha yangu na kata mawasiliano over,.. hawezi kufa kwa presha sababu hakupendi anapenda familia yake ndiyo maana anakupiga marufuku kuingia familia yake .. wewe alikuwa anabadilisha ladha tu ,,,,,,, ila kama hela anayo unaweza amua kuolewa ukavumilie au uendelee na mzee uendelee kunyonga
 
Asante kwa kuniheshim mkuu Na kutokutoa matusi thanx.. ishu nipe hints namuanzaje au nimtafute mtu wa kumueleza,au nimwambie huyu rafiki ake akamwambie au nafanyaje???
 
Mwambie babu aongee na mke wake...kuhusu kuongeza mke wa pili. Mke wake akikataa basi wewe mwambie unataka kuolewa hivyo ni vizuri kuheshimu maamuzi. Naimani babu kama anania atatangaza na wewe uwe tayari kuwa 2nd Lady wa babu.
Mkristo haoi mke zaid ya mmoja
 
Asante kwa kuniheshim mkuu Na kutokutoa matusi thanx.. ishu nipe hints namuanzaje au nimtafute mtu wa kumueleza,au nimwambie huyu rafiki ake akamwambie au nafanyaje???
Anza tu kumuuliza ki utani hiv siku nikipata mmtu itakuwaje

Muulize nini mwisho wa mausianao yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…