I beg to differ, kila kitu na mahali pake. Ukienda majukwaa tofauti utaona mada husika. Mfano, nenda sc & tech. na utaona watu wanajadili nothing but sc & tech. sasa huyu
100bytes ameleta urafiki wa kibiashara mahali sio pake. MMU is all about friendship and relationships...!