Rafiki wa kweli

Mkuu huku kwetu huwa hatuwajali wanyama na kwa njaa zetu tuna ageza madege makubwa kutoka kwa waarabu na kuwashindilia kwenda ughaibuni na mwisho wanyama wote watamalizika mbugani kutakua na kumbi kumbi tu na kutakuwa na vitabu vya simulizi za asili ya wanyama kutoka afirika kwenda uwaraabuni hapo tena basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…