mimi ni mwanamke nina miaka 30 ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole
10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf

utapita nae barabarani vp na wewe lizy
Kanifanya nifikirie....kumbe hata mimi ndo mana sina marafiki maana wanaogopa kupita na mimi barabarani.Teh teh teh....nice snappy comeback!! Mpaka Lizzy mwenyewe amenyala...lol
Kanifanya nifikirie....kumbe hata mimi ndo mana sina marafiki maana wanaogopa kupita na mimi barabarani.
Unamwambia atangulie hatua tano mbele.utapita nae barabarani vp na wewe lizy
Sina mvuto....Kwani wewe Lizzy Licious ukoje?
Kama hutajali fafanua hiyo na. 4! Vinginevyo kila la kheri kwa kuthubutu.mimi ni mwanamke nina miaka 30 ninatafuta rafiki wa kiume sio mpenzi wa mambo yafuatayo
1-jmosi tunaenda mlimani city kucheki movie
2-jpili kuogelea beach yeyote na kwenda church asubuhi
3-kushauriana mambo ya maisha
4-asilieleze mambo ya kungonoka
5-asiwe na mpenzi awe single kiukweli kama mimi
6-cost tutashare
7-awe na ka mvuto mrefu black mimi siko mzuri wala mbaya
8-awe na akili ya maisha
9-awe mstaarabu mpole
10- mimi elimu yangu ni ya chuo kikuu
11-awe available wkend zaid cause nafanya kazi
12 -napenda sana soka awe mpenzi wa arsenal na simba
thanx wana jf
Sina mvuto....
mvuto unao..shida jinsi ya kuutumiaSina mvuto....
Kila ambae amewahi kuniona....hata siku moja sijawahi kusiwa.Kwa mujibu wa nani?
Itika basi....Kwani iyo pic sio yako? maana inaita...
Mhh embu naomba elimu kidogo...mvuto unao..shida jinsi ya kuutumia