Rafiki Mkia wa Fisi!!!

Aisee jau sana mkuu mashoga wametanda sana bongo sababu ya umagharibi
 
Duuh lakini ni vyema ukamwambia wife kuwa huyu jamaa sio riziki tena kuliko kumficha ficha siku jamaa akija kuchomesha kwa wife wako itakuaje sasa?? Muepuke sana
My wife wake atamsaidia kumkwepa huyo dubwana
 
My wife wake atamsaidia kumkwepa huyo dubwana
Yaani ampe taarifa kuwa huyo jamaa hafai na hata kama ikiwezekana asije hapo nyumbani kwa maana ni aibu...Wewe unadhani huyo jamaa akija kuchomesha itakuwaje
 
Natamani sana mwanangu aende kwenye soka academy za nje...lakini taarifa kama hizi zinanizima kabisa kuendelea na hiyo mipango.
 
Rafiki yako anataka kukunyea unakuja kumuanika humu

[emoji23][emoji23]
 
Natamani sana mwanangu aende kwenye soka academy za nje...lakini taarifa kama hizi zinanizima kabisa kuendelea na hiyo mipango.

Unahofia anaweza kuja kupakatwa kama huyu jamaa
 
Attachments

  • upload_2017-9-23_17-10-42.jpeg
    9.5 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…