Rafiki angu kaniharibia kazi

Rafiki angu kaniharibia kazi

Kazi kivipi?

Siku hizi mtaani neno kazi linamaanisha mwanamke pia. Isijekua unamaanisha kakuchukulia mwanamke
 
Naomben ushaur wenu jamani nifanye nini nina rafk angu kaniharibia kazi kwa maneno na hapa nafasi yangu ana kwenda kuichukua yeye na ni mtu ambae nlkua nikimsa idia sana nmechanganyikiwa natamani nmfanye kitu kibaya ila nikiwaza Mungu naamua kuacha tu
Kazi gani?
 
Back
Top Bottom