Rafiki anapokumegea mama yako....

hahahah, iliyo kwenye central nervous systema au ni central bolt? LOL
Kwenye Central bolt.... Hivi wewe si una central nut? Usikonect dot wakati najua ushaelewa LOL
 
Si ndo hapo mpwa jamaa anamaindi kwa vile dogo anamega alipo tokea yeye asiumie na yeye kama anaweza amfuate mama ake na huyo dogo amege na yeye ili arudishe heshima mbele.
Mzee wa chuda, hii imekaa vizuri kiaina.
 
Mbona ulikimbia mwenyewe mziki wangu.....,cheze mm wewe,utapiga deki bahari.Lakin ulivyotimua nilifurah maana yawezekana uliniepushia kes,hv presha ile au?
Umeanza visa vyako. hebu twende PM kwanza nikakunong'oneze kitu flani. Inaonyesha mie na wewe kama tutaendana.....
 
you are nuts and a half, so hapo screw driver inatumika au?????
Hahahaha..... maswali mengine bana... Sasa screw driver itafanya nini? Kwenye bolt na nut inatumika spana bana.... Yeah, spana itatumika kukaza. Utaniletea lini sasa hiyo nut?? LOL
 
Kama wewe mama yako anavyomegwa na yule mshikaji wako tax driver ila haujui
si ndo hapo mpwa jamaa anamaindi kwa vile dogo anamega alipo tokea yeye asiumie na yeye kama anaweza amfuate mama ake na huyo dogo amege na yeye ili arudishe heshima mbele.
 
Hahahahha.....! Duh...! Hii ngumu kumeza, lakini namshauri naye atambue kuwa hiyo ni laana, na bado itaendelea hadi kizazi cha nne mbele ya macho yake....! So, hana jinsi ya kuzuia...! Kama ataamua kuendeleza laana hiyo, basi naye ajitahidi akammege na mama wa rafiki yake, kisha arudi kwa mama yake na kummega naye pia; kama ataweza....! Hadi hapo atakuwa amemkomesha huyo rafiki yake kwa kummegea mama yake na mpenzi wake....! Vinginevyo, alaani, na kuwaombea mapepo hayo yawatoke wote wawili....!
 
du! hii noma sasa,"NOTHING IS STRONG THAN LOVE" jamani ya nini kuumia mapenzi ya wenzenu? angekuwa mkeo labda tungekuunga mkono maumivu yako,inaonesha mother ndo kazimika anahitaji faraja ya moyo,dogo Fidel ukiwaza sana waweza kunywa sumu ukafa na ukazidi kuwapa nafasi zaidi ya wao kuenjoy ulimwengu wakati wewe utakuwa ahera motoni ukipata mateso makali kwa kosa la kujiua
hivi ukikuta dingi yako anakamega kadent ka keki mnakosoma nako pia itakuuma?
 

Mkuu @Asprin, umenikumbusha zile fictional movies za zamani za James Bond - 007!
 
hakuna wa kulaumiwa lakn, uskute b mdanga mwenyewe bila kushurutishwa kazimika mbaya.
 
Mambo mengine bana sasa alipe kisasi,ili iweje?au alitaka yeye ndio amgonge mama yake?kama mama yake anafurahia kaserengeti boy amwache apate raha duniani.
 
Aisee hapa pana shughuli nzito,

Ushauri wangu ni dogo akubali matokeo, si vizuri kuingilia mambo ya wazazi, anatakiwa akubaliane na hiyo hali na aendelee kumheshimu mama yake ila heshima kwa baba mdogo siyo lazima sana.

Ila kuhusu revenge sioni umuhimu wowote, kwanza revenge kwa nani? Hata akisema na yeye amgongee huyo mshkaji dada zake haitasaidia sana sana itamuongezea tu dhambi nyingine tu kwa kuwa atakuwa anatembea na shangazi zake sasa.

Mambo mengine unayaacha yapite kama yalivyo. Kama inawezekana asisitize kuhamishwa shule ili asiwe karibu na baba mdogo ikiwezekana aende boarding school tena mkoani.
 
she is so Sweet I can feel it..dogo kajituma hadi maza amemkubali..mapenzi sio hela/sio mali/sio sura/ etc dogo amemudu ukonyesha ukakamavu katika shughuli muhimu. Big Up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…