NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
MsimlazimisheMimi personal sidhani kama age matters...people go through shit at different times in life, but what u should look for is someone who is ready to share ideas and challenges that will help u grow together...maoni yangu! mtu anaweza asiwe agemate ila akakusuprise...
Maoni mdau..... get me clear!Msimlazimishe
Kama unataka rafiki njoo kwanguMaoni mdau..... get me clear!
Ahsante sisi ni marafiki by defaultKama unataka rafiki njoo kwangu
What is default??Ahsante sisi ni marafiki by default
Japo unqsema upo na mood personal naomba unipe majibu ... upo wapi I mean mkoa ganiHabari ,kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji rafiki mtu mzima,kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 ,ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart,straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.Mi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri .
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni
Mara nyingine huwa nacheka sana nikiona comments zako, uko funny sana [emoji23]Una umri gani
Unaishi wapi
Na wewe kabila gani
Sina marafiki wengi kiviile naweza kukuongeza nikipata hayo majibu.niko very loyal kwa marafiki zangu.utaenjoy
Habari ,kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji rafiki mtu mzima,kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 ,ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa ,jinsia yoyote, smart,straight forward ili unikosoe vizuri ambapo siko sahihi na mshauri mzuri.Mi pia ni mtu mzima sana ndomaana nahitaji kuongea na mtu mzima ambaye anajua maana ya kula ugali na chumvi ili watoto wasome vizuri .
Sina uhakika wa kujibu comments maana niko na mood yangu personal.
Asanteni
Kah[emoji2] endelea kuchora hizo tatoo tu mkuu, kwahiyo hao wengi ushatokanao tayari?Kwa stori, ushauri niko vzr wengi huwa wananijia , tatizo najijua sikawii kuomba game kwa rafiki. Hapo linakaaje ili nije DM?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app