Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 381
Si mliachana? Sasa unataka nn tena?Habarini wadau,Nina rafiki angu ambae tunafanya kazi pamoja ana tabia ya kuwataka X wangu ,Sasa kuna X wangu kaomba turudiane then akaanza kunisimulia jinsi huyo rafiki angu alivyokua anamtaka huyo X wangu hadi kufikia kuanza kuniponda mimi na nlishaona msg alizokua anamtongoza ,najua demu tulishaachana lakini ni sawa kwa rafiki ako wa karibu kuamua kutoka na shemeji yake????
Kweli jamaa ni Domo zege nimemgunduaTukiwa pamoja hujadili kwa pamoja ila ndani ya mioyo yetu kila mtu huwaza yake na ukikuta rafiki yako anafanya hayo yote ujue domo zege
Uliniambia demu mkali na mtamu, nilimstahi kama shem... Umemuacha ngoja nijilie vitamu na mimi, haina ukokoAcha wivu. Inawezekana wewe ndio tatizo,kuwasimulia rafiki zako mambo ya ndan ya mpenzi wako yanasababisha nae ataman kuona laivu kile ulichomsimulia.
We una undugu na manifongoUliniambia demu mkali na mtamu, nilimstahi kama shem... Umemuacha ngoja nijilie vitamu na mimi, haina ukoko
Kama mmeachana ni halali tu atoke naye akipendaHabarini wadau,Nina rafiki angu ambae tunafanya kazi pamoja ana tabia ya kuwataka X wangu ,Sasa kuna X wangu kaomba turudiane then akaanza kunisimulia jinsi huyo rafiki angu alivyokua anamtaka huyo X wangu hadi kufikia kuanza kuniponda mimi na nlishaona msg alizokua anamtongoza ,najua demu tulishaachana lakini ni sawa kwa rafiki ako wa karibu kuamua kutoka na shemeji yake????