Rafik yangu wa kiume ananitaka kimapenzi

Status
Not open for further replies.

some issues are better to be kept silent na kufanya maamuzi sahihi ambayo hayahitaji ata ushauri frm 3rd party,wewe ni mtoto wa kiume ata kama ungekua ni mwanamke usijirahisishe hivyo,pata picha unajiingiza ktk vitendo km hivyo wazazi/ndugu zako na jamii yako watakuchukuliaje?km ni muumini Mungu kitabu chako kitakatifu kinasemaje kuhusu hilo?usijidhalilishe na kuutoa utu wako kwa vijimsaada vidogo vidogo kama hivyo,kwani kabla ya kufahamiana na huyo rafiki/mp***vu ulikua unaishije?alikuonaje onaje mpaka akakuletea habari hizo?manake si mchezo kumtongoza m'ume mwenzio.kweli utegemezi unaondoa uhuru binafsi wa mtu.
 

La'ana tullah.......
 
Naona sababu yako ya kumkataa iko hapa uliposema, "...according to my religion it does not allow ne to do so.."

Hakyanani wewe ni shoga! Yani kwako wewe ingekua poa tu nadhan kama dini isingekataza!

Sijui tutawaficha wapi watoto wetu jamani!! Mungu atusaidie tu!
 
ah ah dah naomba twende pm unipe maujuzi nataka nimtokee kahr ketu kadogooo sema naogopa kupigwa warning letter akikataa
 
kaka mla huliwa angalia sanaa ukimpumulia tu naye atataka akupumulie hapo sasa ndo unaposikia bahasha lazima abakshiwe...hama chumba ***** kap[ange kwako mtu hafi kwa kukosa gtyme kama umefika chuo maana yake hautashindwa kumaliza bila huyo bwabwa.....
 
Naona siku hizi wanaume wenzetu wanageuka na kuwa Walimbwende kama huyu kidudumtu aliyeanika ujinga wake hapa jamvini...
Hivi huyo ni baba yako hadi umbanie pua eti kisa aendelee kukufadhili...
Ulipotoka huko Mbwinde kwenu kuja chuoni hukuacha wazazi waliokupeleka chuo kusoma??
Kwani wewe umekuwa ni ng'ombe au mbuzi wa kisasa ambao ni tegemezi na lazima wapewe majani, pumba n.k na mfugaji?
Jianaume zima umeshindwa hata kufanya "deiwaka" walau ya kuosha magari, au kufuta viatu ukaingiza shekeli kidogo...
Mtoto wa kiume hebu kaza kipwinto hicho na uache kabisa huo umajinuni...ninyi ndio mnatutia aibu sisi wanaume.
 
unataka nini lakini!? Kinachokukataza kufanya ufilauni huo ni dini yako tu!? Kwa hiyo ni dini tu!? Dhamira yako inaridhia!? Unahitaji kumpa Yesu maisha yako haraka sana la sivyo utakuja na maada ya kutaka kufunga nae ndoa! Acha ujinga ww, okoka!
 
ah ah dah naomba twende pm unipe maujuzi nataka nimtokee kahr ketu kadogooo sema naogopa kupigwa warning letter akikataa

niende pm ili? nadhani sijakuelewa au kwani maneno niliyoandika hayaeleweki?
 
Mmmh...! Ukishakuwa mtu wa kumtegemea binadamu mwenzio lazima tuu utakuwa MTUMWA..!

Ona sasa unakoelekea.. Hayo yote ni kwa sababu ya kupenda udelele..!
 

hivi huyo anafit kuwa mwanaume kweli?
 
binti kwn ww unaumri gan hadi kutafuta ushauri wa kuliwa mkund...ambao utaugawa2 atakama ungeshauriwa vipy...
Gawa kabang kwa huyo Entrprenure 'mf.!
 
If this man has abondoned you after taking so much care of you be thankful to god and never ever be close to him if you want to remain real man. Never accept a life you can not afford for youself from other 'men' otherwise such men like the so called friend of yours will 'do' you and your manhood and personality will remain humiliated for ever. Habari ndio hiyo
 

Kutumia kwako kiingereza ili urembe mada na aina yenyewe ya Kiingereza ulichoandika vyatuacha na maswali mengi au majibu rahisi. Kadhalika kwamba wasikitika kukosa vya bure na wataka ushauri. Nasikitikia zaidi matumizi mabovu ya kodi za watanzania.
 

Sasa naona umeenda mbali kwa maneno yako, mtu hadi unaandika maneno haya makali na amesema hana uwezo ya nini kumsema mzazo wake. Je unajua anasomaje na wazazi wakooje?

Maandishi yako yanakatisha mtu maisha, unawez* fanya mtu akajiua bure au kuwa down badala ya kumshauri.
Kama unahasira na gay people si ungeacha tu soma songa mbele sio lazima ku comment.

Wengine wamebarikiwa na wazazi pesa, kumbuka wengine hawana.

Ukimsoma vizuri utaona mwenzake anajua hali yake, wapo room moja na alitaka kumuingia kwa ujanja alioufanya ili awe karibu nae.

Toa ushauri, eti wanawatia aibu nyie wanaume unataka sema unaweza simamisha wanaume wote duniani kuacha kuwa mashoga?

Fikirieni kabla ya kujibu watu, saidia sio kuangamiza na kutukana.
 
as a results he stops everything he used to do to me,he does nt support and help me no more he has changed completely,to be honest i still need his help i dont know what to do am in dillema plz help me out....
Kwa huo mstari wa mwisho.....
Ushafikia uamuzi.
Olewa.
 
kama upo tayar kulea mtoto na kuvumilia hali ya kummimba mwanamme mwenzako poa mfate akakununulie vitu ulivyokuwa unanunuliwa.kwan ckuiz hata wanaume wanapata mimba kupitia huko huko nyuma so take care ma young bro it will be a big shame 2u
 
Jina zuri akili mbaya.
Acha dezo, mwogope Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…