Radio zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtumiabusara, Nov 18, 2011.

 1. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ndugu wana JF,
  Hivi hapa DSM hakuna radio inayotangaza live session za bunge ukiacha Tv. Au radio zetu ni kupiga miziki tu wakati kuna masuala muhimu ya Kitaifa yanaendelea?
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sema vyombo vyetu vya habari kwa ujumla!
  Hamna kitu.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  RTD huwa wanatangaza session ya maswali tu
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  TBC Taifa wanatangaza.
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Nadhani jamaa unaulizia redio zinazosikilizwa na watu wengi , sio kila redio tu mkuu. Si unajua hata mtu akitaka kutangaza kitu chake magazetini lazima ataenda kama sio gazeti la Mwananchi, basi ni Nipashe, Raia Mwema au The Guardian. Hawezi kwenda gazeti la Uhuru, Habari leo hakuna mtu mwenye akili timamu atayasoma au kusikiliza hizo media zilizochoka
   
 6. y

  yaya JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, radio zetu nyingi ni business oriented. Wanatangaza vitu ambavyo kwao, kama wafanyabiashara watafaidika navyo. Watatangaza programu ambazo wanaweza kuweka matangazo ya biashara. Sasa hilo bunge kwa sasa lina nini zaidi ya vijembe na kujadili watu na vyama badala ya masuala muhimu ya kulikomboa taifa na hali duni ya uchumi tuliyonayo? Oh, my poor TZ! You're perishing!
   
 7. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Labda wanakatazwa, wanashindwaje kuweka hata kipindi maalum kinachorusha summary ya matukio ya Kitaifa. Mbona mpira wanatangaza, mi nilitarajia mambo muhimu kama Ripoti ya Jairo yarushwe moja kwa moja. Lakini Tv watu wengi hawana access nayo muda wa kazi
   
 8. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Thanks; Wanatangaza kwenye FM?
   
 9. mysterio

  mysterio JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Radio za mwaka 1947, Nchi nzima ina redio zisizo zidi 10 online. Hongera Radio Maria kwa kuwaonyesha njia.............. na Iringa, Mbeya, Mtwara naona mnakuja juu kuwa radio online. Poor ITV na TBC bado mnahangaika na ushamba wenu wa Mwaka 1947.
  Invest in IT................acha porojo...............
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,964
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Vingi vinapiga muziki tu mkuu.
   
Loading...