Radio za Simu ya Samsung.

Radio za Simu ya Samsung.

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,152
This's too much. Nimejaribu ku-Google sijapata jibu and maybe, hapa naweza kupata msaada kwa wadau. In short, natumia Samsung E5. The problem ni kwenye radio. Mara kwa mara huwa inakata wakati ipo hewani... na ikishikata ni hadi uitekenye! Na wakati mwingine huwa inakata kila baada ya sekunde chache kabisa ndipo inatulia ingawaje inakuwa ni utuliaji wa muda mfupi tu. So, kama kuna mtu anafahamu solution ya hili tatizo plz, assist bila kujali tatizo kama hilo ulili-experience kwenye simu aina gani. Hata kama ni trial and error, I don't care... am willing to take the chance.

Thanks in advance.
 
Dah! We utakuwa foreigner kwahiyo baadhi ya maneno ya Kiswahili huyafahamu!
nafahamu maana ya neno kutekenya ila rudia post yako halafu eka hilo neno uone kama linamake sense
 
Mbona lina-make sense tu? Labda kama umezoea hilo neno kwenye matumizi fulani peke yake na sio kwenye mazingira mengine! Kuitekenya ni kama kuishitua lakini tukizoea yale matumizi ya upande mmoja peke yako hata neno kuishitua nalo halita-make sense!!
yap still haimake sense,

labda nikuulize mimi maswali
hio simu kioo kipo on au off ukisikiliza radio? na huko kushtua ni kuwake simu ikiwa umeilock?
 
Sina hakika sana kama nimeelewa hususani hapo pa kioo kuwa on au off. Ngoja niseme hivi: Naweza ku-tune radio on wakati simu ipo unlocked. Itapiga mzigo but baada ya muda, obvious itaji-lock lakini hiyo haifanyi radio kukata! Inapotokea imekata, ninachofanya ni ku-click/press on/of burton ya radio ndipo inaanza tena. Kwahiyo mchezo mzima ndivyo unavyoenda.

1. angalia kama umeeka battery saver on sababu hio inaweza kufunga app zinazofanya kazi chini kwa chini pindi kioo kikizima ikiwemo hio radio.

2. kuna baadhi ya simu kama huawei (emotion ui) rom zake pia zina tabia ya kufunga process angalia kama kuna mahala pa kuruhusu.

3. jaribu kudownload 3rd party app ya radio toka store. search neno fm radio halafu tafuta yenye ratings nzuri halafu download uone kama nayo italeta tatizo kama hilo.
 
Thanks Mkuu, ngoja nijaribu option 2 & 3 coz' hili tatizo linakuwepo hata wakati battery saver ipo off. Nadhani kuna app nimei-download ambayo ina-interfere lakini kwa bahati mbaya, sikushituka mapema kiasi ingenirahisishia ku-deal na new installed app.
 
kitu simpleeeeee.hebu checki setting za radio maana inawezekana umeweka auto off na hio ndo inakusumbua
 
yap still haimake sense,

labda nikuulize mimi maswali
hio simu kioo kipo on au off ukisikiliza radio? na huko kushtua ni kuwake simu ikiwa umeilock?
Mkuu wangu natumia blackbery curve 8520 haina redio..! Ntaipatajee..
Fany mambo yako mkwawa
 
Back
Top Bottom