mimi mnyeti
Member
- Dec 21, 2017
- 55
- 82
Kwanza kabisa naomba jamii forum msiuonganishe huu uzi. Kwa ridhaa yenu. Hata kama uko popote this is a special thread for me.
Muogope sana mtu ambaye ameshikilia ugali wako. Hata kama utakuwa na njaa kiasi gani yeye ndo atachagua muda gani ule na ule nini. Ndio mchezo wa baadhi ya wamiliki wa redio.
Wengi ndoto zao zimezimwa kwa sababu tu either kipindi chake au nyimbo yake imekosa nafasi kwa kutokuwa na airtime. Presenters wanaamua nani atoke na nani asitoke. Wamegeuka Mungu wameshikilia riziki za watu. Anyway huu ndio mfumo wa maisha.
Ila mfumo unabadilika sana. Hasa usipokuwa makini uliyekuwa bingwa wa miaka ya 2000 basi mwaka 2020 wewe ni zilipendwa. Fuatilia historia tu.
Leo hii redio fulani wanaamua kuwa wanataka wamshushe mtu fulani??? Serious,?? Kweli tunafika sehemu kabisa eti unaacha kupiga nyimbo zake then unasema kuanzia leo unaanza msupport mtu fulani eti kisa huyu amekukosea??? Lengo likiwa ni lipi?
Nawashauri wasanii wa muziki wa bongo fleva hamishieni nguvu zenu kwenye mziki wa dijitali. Who listen to the radio anyway?? Mziki umehamia kwenye digital platforms. Nikitaka wimbo mimi siwezi subiri redio waupige. Naenda youtube moja kwa moja. Hivi hamuoni kuwa siku hizi mnakuwa wa mwisho kuletewa nyimbo baada ya kukaa siku 3 youtube??
Ukishakuwa na viewers wa kutosha watu wameshaingiza pesa ndo wanawaletea redioni. Ninyi ni wa mwisho kupata nyimbo. Kwanza hawanufaiki na airtime yenu.
Angalieni mnaocheza nao. Wamekamata instagram nzima, youtube subscribers kibao, east africa yote ipo mikononi mwao. Bahati mbaya wanaanzisha na redio na tv yao.. duuuuu
Yetu sisi macho. Msipogeuka mkakaa vizuri mtasusiwa sana na fan base ya wasaniii. Jueni kula na kipofu.
Povu ruksaaa