Radio ya gari kulock

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,085
Reaction score
8,409
Wakuu salama? Nisaidieni niko na gari Hyunday Getz ya 2006, manual trans, imepata shida baada ya kubadili battery radio ikalock na iko kama hii picha hapa

Codes za kwenye manual zipo ila sijajua jinsi ya kuziseti, please mwenye msaada

Cc: CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
Shut the radio OFF. Hold the button number 4 (mode). While holding the button 4, turn the radio ON. You should get a bar code. Write this bar code down. When releasing, the CODE indicator should appear. Just enter the code you've got (hopefully from dealer). You have 3 chances. Once entered the right code, radio should work. If you see just numbers on the LCD, the unit is locked up. To unlock, you must remove battery for 24 hr and then reconnect it again. When you turn radio ON, the CODE indication should appear again. If its not working, just go to dealer with the bar code in order to get the right code. To enter code, just ue the 1to6 buttons to type it in.
 
MKUU kama code unazo unashindwaje kuziweka?? nikwamba ikikudai uweke kode nazani gari NYINGI ni 4 digital kwenye redio yako kuna namba ila ss uandikaji wa hizo namba ni tofauti na uandikaji kwenye sim.

nikwamba namba 1 inasimama kwenye first digital
namba 2 itasimama kwenye second digital
namba 3 itasimama kwenye third digital
namba 4 itasimama kwenye fourth digita.

mfano code yake ni 8275
hapo ili uiandike namba 8 utabonyeza NAMBA 1 Mara 8 kisha unaacha na ukitaka kuandika NAMBA 2 utabonyeza namba 2 Mara 2 na kuandika NAMBA 7 utabonyeza NAMBA 3 Mara 7 nakuandika NAMBA 5 utabonyeza NAMBA 4 Mara 5. unapomalizia kuandika NAMBA ya mwisho radio itawaka .

ilikupata sehem yakuandika hizo pin hatua huwa zinatofautiana kutokana na aina ya gari Toyota Nissan Isuzu jeep nitofauti.

ukishindwa MKUU kama upo dar nitafute kama code unazo nitakuingizia bure Ila kama huna itabidi uchangie kidogo 0717228064
 
Natafuta radio ya gari yenye uwezo wa kupokea TV channels pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…