Huwa wanaomba wasikilizaji wawape 'feedback'. Lakini kusema tu haina 'quality' haisaidii kitu. In fact, unaweza kusema karibu radio zote hapa Tz hazina quality. Kitu ambacho kingesaidia ni wewe kusema programmes ambazo unaona hazina quality na pia kuona kama haitimzi objective zake.