Radio Station name

DATOGA

Member
Nov 17, 2011
82
24
WanaJamvi,

Poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia.

Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.
 
Wana jamvi poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.

Uko mkoa gani?
 
Malengo makuu yanayotarajiwa kwenye redio yako ni yepi? Is it entertainment, news, ya kijamii locally au nini hasa. Ukijibu hill utatusaidia kutoa suggestions
 
Niko Moro na malengo ya radio ni kuripoti local news

Binafsi ningeshauri uiite jina la wilaya iliyomo. Mfano, Kilosa Fm, Mikumi fm,au Mvomero Fm.
Au Iite Pride Radio, Sauti Radio, City Fm Radio, na Radio Star Fm....
nimeishia hapo
 
Wana jamvi poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.

Kama upo Moro basi unaweza iita M-RADIO ikimaanisha Moro FM Radio.
 
Back
Top Bottom