Radio Producer JF-Expert Member Feb 4, 2011 724 295 Jun 21, 2011 Thread starter #21 Mtanzania said: Soma PM yako mkuu na tuwasiliane. Click to expand... Pokea majibu tayari mkuu kwa PM!
Mtanzania said: Soma PM yako mkuu na tuwasiliane. Click to expand... Pokea majibu tayari mkuu kwa PM!
Zing JF-Expert Member Jun 24, 2009 1,767 470 Jun 21, 2011 #22 vipi ile tenda ulitangaza unataka mtu wa kukuandikia business plan?
Radio Producer JF-Expert Member Feb 4, 2011 724 295 Jun 21, 2011 Thread starter #23 Zing said: vipi ile tenda ulitangaza unataka mtu wa kukuandikia business plan? Click to expand... Tumeshaimaliza mkuu! kuna mtu alijitoa kwa karibu sana amenishauri mengi na sasa tunaendelea naye vizuri sana!
Zing said: vipi ile tenda ulitangaza unataka mtu wa kukuandikia business plan? Click to expand... Tumeshaimaliza mkuu! kuna mtu alijitoa kwa karibu sana amenishauri mengi na sasa tunaendelea naye vizuri sana!
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Jun 27, 2011 #24 Vipi u,mefanikiwa kupata kazi? Check bbc idhaa ya kiswahili walitangaza kazi!
Radio Producer JF-Expert Member Feb 4, 2011 724 295 Jun 28, 2011 Thread starter #25 Kibanga Ampiga MKoloni said: Vipi u,mefanikiwa kupata kazi? Check bbc idhaa ya kiswahili walitangaza kazi! Click to expand... Asante kwa taarifa mkuu! Nilifanikiwa kupata opportunity niliyokuwa natafuta kabisa! nipo kwenye process za mwisho sana kuanza kazi! Daima Mungu ni mwema!
Kibanga Ampiga MKoloni said: Vipi u,mefanikiwa kupata kazi? Check bbc idhaa ya kiswahili walitangaza kazi! Click to expand... Asante kwa taarifa mkuu! Nilifanikiwa kupata opportunity niliyokuwa natafuta kabisa! nipo kwenye process za mwisho sana kuanza kazi! Daima Mungu ni mwema!