Uchumi wa Kati
Member
- Jul 3, 2020
- 29
- 65
Hata kama wasingechezesha kamali hakuna jambo la hekima linalofaa kusikilizwa na muumini wa dini kwenye Radio za Tanzania kwa sasaHivi masharti ya leseni ya urushaji matangazo ya redio ya TCRA inaruhusu vituo vya redio kuwa na michezo ya kubahatisha/kamari?
Maana kila redio ina kamari yake, Efm ,Clouds FM,Wasafi na sasa Radio One( Mchezo Supa).
Watangazaji wa redio hizo kila kipindi wamekuwa wanachezesha droo mwisho wa kipindi baada ya kuwashawishi wasikilizaji wao watume pesa tsh 1000 kupitia mitandao ya simu.
Baada ya kupatikana mshindi wanampigia simu live redioni na kumtaarifu ameshinda pesa.
Swali langu hivi vituo vya redio imekuwaje vinachezesha kamari havioni vinawakwaza baadhi ya wasikilizaji ambao dini zao kamari ni haramu? Mathalani dini ya Kiislam kamari ni haramu na dhambi kubwa.
Hivi vituo vya redio vijitathmini.
ni nini?Wasafi ile sio kamari,
Sasa hivi mpaka viredio uchwara vya huku Moshi Kama Radio Banana na Radio Kicheko vinachezesha KAMARI wakati wa vipindi.Hahahah Ile mchongo pesa ya clouds aise wale jamaa wanapiga hela na wamefanikiwa sana ..ngoja tuone hii ya radio one kama itafua dafu.
wewe ndo umejitakia shida.Usisikilize hzo badala yake sikiliza za kidini mf.Radio maria n.K au badili masafa basi usikilize za nje ya tanzaland.Wew hupendi za nyimbo za matusi lakin wanaopenda wapo wengi tu na wao dini haipandi the same kama wew ulivohupendi nyimbo hzo.Hata kama wasingechezesha kamali hakuna jambo la hekima linalofaa kusikilizwa na muumini wa dini kwenye Radio za Tanzania kwa sasa
Muda wote wanapiga muziki wa matusi
Radio Maria kila muda ni MICHANGO.wewe ndo umejitakia shida.Usisikilize hzo badala yake sikiliza za kidini mf.Radio maria n.K au badili masafa basi usikilize za nje ya tanzaland.Wew hupendi za nyimbo za matusi lakin wanaopenda wapo wengi tu na wao dini haipandi the same kama wew ulivohupendi nyimbo hzo.
Hata redio imani nao mkuuRadio Maria kila muda ni MICHANGO.
Tuma pesa, tuma pesa[emoji1787][emoji1787]
hahaaa,sasa penye michango hatutaki na kwenye kupewa pesa sisi wenyewe pia hatutaki.Basi twende tbcRadio Maria kila muda ni MICHANGO.
Tuma pesa, tuma pesa🤣🤣
Hawahubiri Tena neno la MUNGU,wamejikita kwenye michango muda wote.Radio Maria kila muda ni MICHANGO.
Tuma pesa, tuma pesa🤣🤣
Radio Maria kila muda ni MICHANGO.
Tuma pesa, tuma pesa[emoji1787][emoji1787]
Mkono wa iftari, unapiga simu wanakuuliza swali rahisi ukijibu wanakutumia chochote kitu kwa iftarini nini?