Radio Mazingira Fm Bunda, inasikika na mikoa mingine?

Radio Mazingira Fm Bunda, inasikika na mikoa mingine?

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Hii ni radio mazingira fm inayopatikana hapa wilayani Bunda mkoani Mara. Kwa sasa inasikika mkoani hapa mara na Mwanza. Je, mikoa mingine nayo inasikika?
 
Mkuu hii mazingira hata mie sijui lakini kwa leo hapa Bunda umeme umekata na yenyewe sasa haisikiki ina maana hawana hata generator?
 
Mkuu hii mazingira hata mie sijui lakini kwa leo hapa Bunda umeme umekata na yenyewe sasa haisikiki ina maana hawana hata generator?

Mkuu jaffari yogo, generator wanayo ila siku hiyo ilitokea kwa sababu za kiufundi ila Bunda hii wanatisha sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom