Radio kwenye Bajaj & Pikipiki!!!

Hahaha kwa style hiyo lazima tukukute Muhimbili kwenye wodi ya SANLG umening'inizwa mguu juu

Siku moja nilitaka kula mueleka pale Ubungo nilipakia mama mwenye makalio mazito akanogewa na Alaji Alaji dah we acha tu niliyumba mpaka nikakoswa koswa kupigwa V8 we fikiria mama alivyo fungasha nyuma alafu awe anacheza Alaji lazima ukose balance.
 
Ni hatari sana kwa maisha yetu boda boda nitapanda vijijini sio mjini kwa uendeshaji ninaouona kila siku its too serious na huo muziki munene ndo balaa kabisa.
 
Hahaha halafu cha ajabu mlio wa mziki kwenye hiyo pikipiki ni mkubwa kuliko hata mlio wa pikipiki yenyewe wachina banaa
 
Ni hatari sana kwa maisha yetu boda boda nitapanda vijijini sio mjini kwa uendeshaji ninaouona kila siku its too serious na huo muziki munene ndo balaa kabisa.

Kwa kweli hizi boda boda zinatusaidia sana sisi wananchi wa hali ya chini, hasa tunaokaa pembezoni mwa mji ambapo daladala hazifiki, yani zinaishia kilometa 1 na zaidi toka kwako, kwa bei nafuu tu ya buku unaichukua na kukufikisha salama hata kama umerudi usiku wa manane.

Ni suala tu la tuombe Mungu nchi yetu ije kupata SERIKALI, ambayo itashughulikia matatizo haya ya uvunjwaji wa sheria za barabarani na kuhakikisha wanaoendesha pikipiki na bajaji ni watu wanye vigezo ili kupunguza ajali,,,,,,
 
Back
Top Bottom