unakosea kaka, sio kila wanachofanya radio Iman ni chema, yaani we unaona wanapokaa na kujadili udini na na kulalamika eti serikali inaongozwa na mfumo kristo ni kweli? Kwa mtazamo wangu ni kwamba, majadliano yao mengi yamejaa fikra za kidini na kibaguzi kitu ambacho kinaweza kulitumbukiza taifa kwenye giza.