Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,028
Kwani mkilishwa bila kujuwa ni dhambi kwenu? Mbona hata nguruwe kwenye shida ya chakula si mnaruhusiwa?Uswe usidhan kama unaiskiza peke yako,wao wanasema kwamba kuchinja nyama na wao wenyewe (wakristo) wakaila si tatizo,ila kupeleka mabuchani ndo kutaleta mtafaruku,maana wanaweza wakanunua watu wenye hoteli then wakaenda kuwalisha waislam,
Kwani mkilishwa bila kujuwa ni dhambi kwenu? Mbona hata nguruwe kwenye shida ya chakula si mnaruhusiwa?
Pombe tunakunywa nanyi kila kukicha na nguruwe vile vile.Waislamu, ni haramu kula nyama isio halal, kunywa pombe na ushoga. Sasa sisi sio nyinyi na nyinyi sio sisi, kama vipe kila watu kivyao, msitupigie kelele!
Unasema kuwa pesa ya MoU inatolewa na Makanisa ya Ulaya halafu pesa hizohizo za Makanisa wanapewa hospitali ya AghaKhan!
Hivi hii inakuingia akilini?
Unasema kuwa pesa ya MoU inatolewa na Makanisa ya Ulaya halafu pesa hizohizo za Makanisa wanapewa hospitali ya AghaKhan!
Hivi hii inakuingia akilini?
vipimo vya ipi ni shida na si shida vinatofautiana ndugu... Wengine hamu ya nguruwe ndo shida kwao. Kifupi mnaruhusiwa kulaUmesema kwenye shida ! Tia akilini mgalatia !
Of course haiwezi kukuingia akilini WEWE na watu wa aina yako maana dini yenu nyie ipo kushindana na Ukristo. Kwa hiyo kwako wewe ni ajabu pesa ya kanisa kupewa muislamu. Kuna msikiti Vatican City lakini hakuna kanisa hata moja (Na hairusiwi kujenga) Saudi Arabia, unajua hilo? Kuna waalimu waislamu walioajiriwa na shule za kanisa, lakini ni sera rasmi kuwa Mkristo hawezi kuajiriwa kwenye taasisi ya Kiislamu. Kadinali Pengo alishawahi kuwa na dereva muislamu.
Yako mengi (yanayotutofautisha sie na nyie) ambayo hayatakuingia akilini! Lakini kukataa kwa akili yako kuingiza hayo mambo hakubadilishi ukweli kuwa yapo!
vipimo vya ipi ni shida na si shida vinatofautiana ndugu... Wengine hamu ya nguruwe ndo shida kwao. Kifupi mnaruhusiwa kula
Pombe tunakunywa nanyi kila kukicha na nguruwe vile vile.
Umesema kwenye shida ! Tia akilini mgalatia !
Pombe tunakunywa nanyi kila kukicha na nguruwe vile vile.
POMBE NI HARAMU, NGURUWE NI HARAMU NA USHOGA NIHARAMU. KWA MUISLAMU ANEFANYA HIVYO SIO MUISLAMU, WALA UISLAMU SIO MAJINA. Ingawa wapo watu wenye majina ya kiislamu wanafanya yote hayo, na wao wanajua kua hilo ni kosa. Ingawa nyie wenzetu mmeenda mbali zaidi mpaka mmevifanya vyote hivyo kua ni halali na haki za kibinadamu.
Mbona hamkuruhusiwa ' mavi'? basi nguruwe halal kwenu hacheni unafiki!!!
Kuna economic reason nyuma ya kung'ang'ania kuchinja. Watu wanakusanya hela ndefu hapo, hakuna jingine.
Mbona hawalilii kuchinja nyati? Wao wanalilia wanyama wapole ili wapate kilo moja ya ahsante
Mimi sioni issue hapa tuwe na HALAL butcher na HARAM butcher watu wachague kwa kununua!
Mkeo kama konde waweza ingilia popote!!!!!!!?
Uswe usidhan kama unaiskiza peke yako,wao wanasema kwamba kuchinja nyama na wao wenyewe (wakristo) wakaila si tatizo,ila kupeleka mabuchani ndo kutaleta mtafaruku,maana wanaweza wakanunua watu wenye hoteli then wakaenda kuwalisha waislam,
Na hilo ndilo liloazimiwa na wazungumzaji wengi na viongozi wa Kiislaam. Mbona itatuongezewa point na itapromote Uislaam ! Maana huku wanauza 'Nyama Halal' na huku wanauza nyama 'Holela' !