itakuwa muda huo ilibinywa mana bunge la ulaya halijabumbaradio one hawajiungi na DW, wao hujiunga na BBC Swahili saa kumi na mbili asubuhi na jioni. Hii RFA inajiunga na DW, BBC swahili na VOA ndio maana tunapenda kuifungulia yenyewe tu itupe matangazo ya redio hizo za kimataifa
Wazawa wanamuogopa mchawi na dhulumatiiiiiSi bora aingia ubia na wawekezaji wengine.
Wanatafuta pesa kwa udi na uvumba. Hivi kweli redio zetu zinatoa matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume, dawa za kupata fedha, pete za bahati, kujiunga na freemason na illuminati n.k. mambo ambayo ni ya ujanja ujanja tu? Dini ndo usiseme, sasa ni sadaka kwa kwenda mbele kupitia mitandao yote ya simu na pia television nyingi hutoa matangazo hayo. Pia wanaitumia muda mwingi kuchambua michezo hasa ya Mpira wa miguu. Toka saa mbili hadi saa nne ni kubashiri nani atashinda, kwa nini walishindwa, kocha alipanga vipi timu, michezo ya Ulaya nk. Sasa hivi karibu redio zote ni kamari ile ya shilingi 1,000 ili upate mamilioni ya kufikirika. Salaam ndo kabisa ni mwendo wa hakuna kulala hapa! Ama kweli utitiri mwingi wa hivi vyombo vya habari vimetuletea mambo haya!RFA ilikuwa na vipindi ambavyo radio nyingine zemcopy kwao, kipindi kinaaukwa vilivyo na Kiss Fm.
Bahati mbaya siku hizi unafungulia redio unapiguwa makelele ya bet na kule kiss fm ni waganga wa kienyeji wamechukua airtime siku nzima.
Utasikia Haroooo.......unataka ushuhutaah? Ulipona?