RADIO FREE acheni u CCM,ukada....

CCM inatapata kila angle.Jana yenyewe baada ya UKAWA kuondoka ilionekana waliobaki hata ambao wasio CCM walionekana kununuliwa.Mpaka viongozi wa dini.
 
Sikilizeni Radio zingine kwa upande wa magazeti sikiliza Radio Maria.Wako poa hawana haraka wako balanced.
 
intarehamwe ndio nini wakuu

Inawezekana tafsiri yangu isiwe sahihi lakini utachanganya na zako.
Intarehamwe ni kundi la watu ambao wapo tayari hata kufanya mauaji ya kimbari ili kutetea maslahi yao, nimemaliza.
Mtitu.
 
Mi huwa sioni logic mfano kusoma magazeti kama Uhuru, Mzalendo, Habari leo, na Jambo leo katika kipindi kimoja!
 
Mwenyekiti wa Ccm Mwanza ndio mmiliki wa hiyo redio unategemea nini hapo?
 
Magazeti haya hayafai

Uhuru

Jambo leo

Habari leo

Mtanzania
 
Walivyo mtosa ubunge wakati hule CDM walikuwa live wakati wa mikutano na harambee lakini sasa toka walipompa chakula tena ukada umerudi, huyu bosi ni Ms....nzi kabisa
 
Duh........mnalalama kuliko mke wa Kanjibai...........
 
Inawezekana tafsiri yangu isiwe sahihi lakini utachanganya na zako.
Intarehamwe ni kundi la watu ambao wapo tayari hata kufanya mauaji ya kimbari ili kutetea maslahi yao, nimemaliza.
Mtitu.

Changanya hapo hii

"The Interahamwe (Kinyarwanda, meaning "those who
stand/work/fight/ attack together"[1]) is a Hutu paramilitary organization".
 

Unataka akose kualikwa kwenye makongamano.. ndo zao hao kujipendekeza ili kupata vibahasha huko CCM.
 
Nimeshangaa asubuhi wanaanza kusoma Habari leo na Uhuru wakati sio kawaida yao,ccm wapuuzi sana.
 

well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…