Wausika na wenyeji wake ni TRIPLE A na wanamiliki radio yao (TRIPLE A FM ) kwahiyo kama kungekuwa na tatizo ungelisikia kwa wenyeji wake(triple A FM) na si sehemu nyingine, lakini ngoja nikupe nyongeza yeye kaitwa kufanya shoo kwahiyo swala la promo halimuhusu na ameshapewa kianzio japo wenyeji wanaweza kumuhusisha kwenye promo ya ktk media kutegemeana na makubaliano yao.
Shoo ipo na frequensi za triple A kwa moshi nimezisahau ila kwa Dar sijui kama inafika.Nipe frequensi ya Triple A Moshi na Dar mkuu. Show ipo au haipo?