Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,383
- Thread starter
- #341
Pole sana mkuu!Nimeshindwa kusoma! Uzi wa Analyse ulikuwa unanilazimisha wenyewe niusome, ila hapa naona nimetoka kapa....
(i) wote tunaamini ni watoto wa Adam na Hawa (eve)Nini haswa kilichokufanya uone hizi dini mbili utofauti wake nimdogo? Unaweza kusema baadhi yasababu
Thanks broo!Hongera ....Nipo nasubiri Muendelezoo
Thanks mkuuHongera kaka it's so inspired
Zinashawishii
Sawa mkuu, kuna sehemu umesema kuna sehemu ulikuwa unapashika katika huo msikiti nakubusu kama nakumbuka vzr je nipo sawa?(i) wote tunaamini ni watoto wa Adam na Hawa (eve)
(ii) wote tunaamini Ibrahim (Abraham) ndio baba wa imani
(iii) wote tunaamini juu ya utukufu wa Mama Maryam
(iv) wote tunaamini juu ya utukufu wa Issa (Jesus)
(v) Wote tunaamini juu ya ujumbe waliotumwa nao Musa (Moses), Suleiman, Yaakub (Joseph), Ishaka, Ismail na wengine wengi.
(vi) Wote tunaamini juu ya Zaabur, injil and Torah
Na mambo lukuki bro
Kumbe zinashawishi???Zinashawishii
Katika hiyo kaaba, yes! Kaaba ni hicho kama kibanda kilichovikwa dude jeusi hapo katikati kwenye pichaSawa mkuu, kuna sehemu umesema kuna sehemu ulikuwa unapashika katika huo msikiti nakubusu kama nakumbuka vzr je nipo sawa?
Ndiwooo...Kumbe zinashawishi???
Aha Sawa vzr nahapo kwenye kaba kuna nn hasa ambacho wewe kinakupa nguvu yakufanya yote hayo? Nijibu alafu mwisho kuna kitu nitasemaKatika hiyo kaaba, yes! Kaaba ni hicho kama kibanda kilichovikwa dude jeusi hapo katikati kwenye picha
Bora yabaki tu hayo!Ndiwooo...
Yabaki tuu maandishi! Halafu nilikuambia unipigie simu unisimulie
Udogoni tulikuwa tunaambiwa hyo Kaaba ndo kabuli la mtumeKatika hiyo kaaba, yes! Kaaba ni hicho kama kibanda kilichovikwa dude jeusi hapo katikati kwenye picha
Nothing bro, just out of love.Aha Sawa vzr nahapo kwenye kaba kuna nn hasa ambacho wewe kinakupa nguvu yakufanya yote hayo? Nijibu alafu mwisho kuna kitu nitasema
Hapana mkuu sio kweli! Kaaba imejengwa na nabii Ibrahim, miaka tele wa tele kabla mtume hata hajulikani atakuja liniUdogoni tulikuwa tunaambiwa hyo Kaaba ndo kabuli la mtume
Mkuu kulingana namjibu yako ningependa waislamu wengi zaidi waende hijja kadili Mungu atakavyowawezesha ili kuilewa zaidi dini yakiislam naamini hata mizozo/kashfa namengine mengi yatapungua kwaasilimia kubwa sana, Asante sanaNothing bro, just out of love.
Unajua vile kila saa upo na mwanao unambusu?? Kwani ukimbusu unapata nini?? Au pale unapobusu msahafu au bible?? Hupati kitu ila out of love, you find yourself doing it.
Ila kwenye kaaba yenyewe kuna sehemu panaitwa HAJRATUL AS-WAD tumeelekezwa tupabusu na hapa ndio nimegundua kunasababisha watu wengi wafe. Ntaelezea episode za mbele kidogo namna mzee alivyotaka kufa hapa kwenye hiyo HAJRATUL AS-WAD
Kivipi mzee baba???🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu kulingana namjibu yako ningependa waislamu wengi zaidi waende hijja kadili Mungu atakavyowawezesha ili kuilewa zaidi dini yakiislam naamini hata mizozo/kashfa namengine mengi yatapungua kwaasilimia kubwa sana, Asante sana
Wewe ulikuwa unatambua kuwa dini hizi mbili zinatofautiana kwakiasi kidogo kabla yakwenda huko? Nilikazia hapo kwenye kubusu nakushika hapo kwenye sehemu iliyojengewa, Me nichristian kwenye makanisa yetu tuna misalaba na kipindi chakwaresma mwishoni huwa tuna ijumaa kuu so katika hiyo Misa ya ijumaa kuu huwa kuna vitu vinafanyika kanisani kama kubusu msalaba nakushika ila sio lazima kufanya hivyo muumini atafanya hivyo kwakadri itakavyo mgusa ktk nafsi yake kwahiyo kwamtu ambaye ajui kinachoendelea akipita nakuona hiyo ibada inavyoazimishwa anajenga kitu anachokiwaza kichwani kwake bila yakujua chochote nambaya zaidi ataanza kutumia kama fimbo yakuwachapia waumini wadini husika.Kivipi mzee baba???🤣🤣🤣🤣🤣
I see!Wewe ulikuwa unatambua kuwa dini hizi mbili zinatofautiana kwakiasi kidogo kabla yakwenda huko? Nilikazia hapo kwenye kubusu nakushika hapo kwenye sehemu iliyojengewa, Me nichristian kwenye makanisa yetu tuna misalaba na kipindi chakwaresma mwishoni huwa tuna ijumaa kuu so katika hiyo Misa ya ijumaa kuu huwa kuna vitu vinafanyika kanisani kama kubusu msalaba nakushika ila sio lazima kufanya hivyo muumini atafanya hivyo kwakadri itakavyo mgusa ktk nafsi yake kwahiyo kwamtu ambaye ajui kinachoendelea akipita nakuona hiyo ibada inavyoazimishwa anajenga kitu anachokiwaza kichwani kwake bila yakujua chochote nambaya zaidi ataanza kutumia kama fimbo yakuwachapia waumini wadini husika.