frank mayige
Member
- Jan 5, 2013
- 61
- 11
Habari!
Nimepigiwa cmu na hawa jamaa wa Radar Recruitment eti wakisema wamenichagua kwenda zanzibar kufanya kazi kwa mshahara wa sh. 1.6m, lakini nikipata kazi aliyeniunganisha nitampa laki 5, kutoka kwenye mshahara wangu, halafu nitoe 150,000, kwaajili ya mtu anayetoka zanzibar kuja kunifanyia interview, nikaona jamaa ni matapeli kabisa kwahiyo atake ona namba hii awe makini: 0679411888, Ahsante.