Rudini makwenu. Huyo mzungu yuko right, kwa nini mnyanyaswe ugenini, hamna nchi?
Hata mimi nachukia wachina wanavyo take over Tanzania, wakenya wanavyo creep in, na wasomalia wanavyovamia Dar, the same way huyo British asivyopenda kuvamiwa na foreigners.
Kuna mjamaica anajitetea humo kwenye tram eti wakiondoka wao UK kazi zao hazitafanywa, really? Kama mnajua sana kazi si mkajenge kwenu third world? Nani aliijenga UK mpaka ikawavutia wahamiaji kiasi cha kukimbia kwenu na ndugu zenu, kuna watu wamekimbia watoto wao third world kwenda kwenda UK, nyinyi si mnajua sana kazi, rudini tuindeleze third world basi!