South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,513
- 5,144
Mara ni Pombe sijui tutaficha wapi sura zetuTusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
Mara ni Pombe sijui tutaficha wapi sura zetuTusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
![]()
kama wolper anajifanya binamuu kumbee
![]()
![]()

na yule miss tanga anayeishi marekani jaman kalalamika hajaamini

Marahaba mkuu haujambo.?Shikamoo mkuu nimepitia kila komenti yako unaonekana upo vizuri kwenye mambo haya ya umbea![]()
![]()
![]()
Leo raaaaaaaaaaha. Heheheheeeeee.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
ya leo kaliina yule miss tanga anayeishi marekani jaman kalalamika hajaamini
Sijambo ila uko vizur huleti umbea bila evidenceMarahaba mkuu haujambo.?
Umbea muhimu kusutwa suna![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sihami mjini
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
big up
Sijawaigi kuifollow hiyo acc ya rachel aisee mpaka chagababe ametukanwa![]()
Leo raaaaaaaaaaha. Heheheheeeeee.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Aibu naona mie ujuengoja niende kwa chaga bibi...
![]()
![]()
ya leo kalii
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app

Umenikubali eeeh?Sijambo ila uko vizur huleti umbea bila evidencebig up
Mungu analipa hapa hapa jamaanyaani mpk huruma ila mwisho wa ubaya aibuu!
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Aliwahi kunitukana akaniblock kwenye account yake original.yaani leo hatari asante kwa maevidensi!!![]()
![]()
![]()
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Aliwahi kunitukana akaniblock kwenye account yake original.
Nikamchalange kwenye kipazasauti akanifuata DM akanitukana akaniblock.
Matusi yalikuwa Yale Yale kwanzia hapo nikamwamini mama kenzo.
Yaani Leo Nina furaha alivyoumbuka ha ha ha
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
leo analo leo...Kidogo sasa.Sijawaigi kuifollow hiyo acc ya rachel aisee mpaka chagababe ametukanwa