Rachel Kiunsi, 50 / 50

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195


Huyu ni mmoja kati ya wasichana 8 ya wanafunzi bora waliopata maksi 50/50 katika somo Hisabati bila kukosa hata moja katika Mitihani ya Taifa ya Darasa la 7 iliyofanyika nchini mwaka huu, anaitwa Rachel Kiunsi na ana miaka 13. Anasema siri ya mafanikio yake ni kujituma katika masomo na kuwaheshimu wazazi.

Unalipi la kumwambia Mwanafunzi huyu?

Chanzo: EATV
 
Nikimtezama huyu mtoto haiba yake inanionesha kwamba anafaa kuwa rubani wa ndege au daktari.Kwa hiyo namshauri hivi: Kwa kuwa ameonesha uwezo mkubwa wa hisabati, basi akienda sekondari akazanie sana masomo ya sayansi (anayaweza) ili atoke na mchepuo wa pcb au pcm.Akimaliza form vi na hizo combi mambo yake yatakuwa saaaafi! Hongera dogo!
 

Huyu lazima aje awe Professor wa hesabu around 2040!
 

utafiti unaonyesha kuwa % kubwa ya watu wanao fanya vizuri shuleni mwisho wa siku wanaishia kuwa walimu wa sekondari na digrii zao....kama unabisha tafiti hili jambo.
 
Endelea na msimamo wako na siri yako ya mafanikio isije kukulewesha.

Achana na ngono, ulevi na starehe pamoja na anasa nyingine.

Hongera sana binti
 
utafiti unaonyesha kuwa % kubwa ya watu wanao fanya vizuri shuleni mwisho wa siku wanaishia kuwa walimu wa sekondari na digrii zao....kama unabisha tafiti hili jambo.
umesahau kingine kuwa na ''wengine huwa waalimu wa chuo kikuu!!! Lengo la erikali ni ili huyu mfaulu awasaidie wengine!!! wawe km yeye!! au kuzidi na mishahara yao hao si ya kitoto inafuatana na ya Rais!!! sasa wewe kwa mawazo yako mfu ulitaka awe Balozi jinga sana......
 
jinga baba ako na mama ako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…