The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,707
Listen to the video and don't ask anymore please.Evidence please..!
Pole Pole for Presidence..
View: https://www.youtube.com/watch?v=WvFRcG-VgTE
Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa.
Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi. Amepelekwa Mbweni kisha Kigamboni.
Rachel amesema wanajisumbua wanaofanya juhudi ya kufungia account zake ila hatoacha kuzungumza. Pia, amemtuhumu Mzee Warioba kuwa ndiye aliyefichua anakopatikana Polepole baada ya kupewa milioni 300.
For Presidency or for President?Pole Pole for Presidence..
🙏
Nimekosea mdau?For Presidency or for President?
Ebu GoogleFor Presidency or for President?
Jamani mlidanganywa na Mange mkaliwa vichwa , Habili aliwatapeli amesha hack serikali mkaingia mkenge bado huyu malaya Japan bado mnamuamini?
View: https://www.youtube.com/watch?v=WvFRcG-VgTE
Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa.
Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi. Amepelekwa Mbweni kisha Kigamboni.
Rachel amesema wanajisumbua wanaofanya juhudi ya kufungia account zake ila hatoacha kuzungumza. Pia, amemtuhumu Mzee Warioba kuwa ndiye aliyefichua anakopatikana Polepole baada ya kupewa milioni 300.
Unamsema sasa sioNafikiri Rachel ulimi ulimteleza alikuwa anamaanisha Mzee Butiku na wala siyo Mzee Warioba.
kabisa ana kinyongo na CCM mtandao lakini hana njaa kabisa na hela sio motivation kwakeMzee Warioba hana njaa za kijinga. Angekuwa ni mpenda rushwa mpaka muda huu angekuwa anaunga mkono kila ujinga unaofanywa na huyu shetani wa kike.
Nadhani alimanisha Mzee Butiku. Warioba haiwezekani.Hilo la Mzee Warioba sidhani kama lina Ukweli
Mzee warioba anajulia wapi location za alipo Polepole? Milioni 300 azitakeje kwa njia hiyo ilihali kama angekuwa na shida na hizo hela serikali isingeshindwa kumpatia kwa nafasi alizoshika nchini na kwa Heshima aliyo nayo, si juzi tu alikuwa na Rais ikulu?
Mambo mengine ni Uzushi tu na kutafuta contents za kuhamsha hisia za watu
Hapo ni mzee butiku ...warioba angekubali kuwa chawa wa samia tu hata leo angetaja dau hata la bilioni 2 tsh angepewa bila ya habari za kumfichua polepole. na Rostam azizi angempa na bonasi ya kama milioni 800 bado baressa hapo.
Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa.
Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi. Amepelekwa Mbweni kisha Kigamboni.
Rachel amesema wanajisumbua wanaofanya juhudi ya kufungia account zake ila hatoacha kuzungumza. Pia, amemtuhumu Mzee Warioba kuwa ndiye aliyefichua anakopatikana Polepole baada ya kupewa milioni 300