Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
Niambie mremboJamani!!!
Niambie mremboJamani!!!
Mkuu ni kuelimishana tuu...Mkuu mbona kama jazba isiyo na maana.
Nimekwambia huo mguu hauvutii kwa hilo tangazo sasa shida nini?Ulicho fanya sio elimu mkuu,labda kama ni elimu hasi.
Huyo ya pili kutoka mwisho namba ngapLaini
Weka namba ya simu tufanye biashara.Wakuuu nauza hizi raba, kwa bei ya jumlaa na reja reja,ninao mzigo wa kutoshaa.
Kimoja bei ni 20,kuanzia pc mia bei inaporomoka hasaaa.
Karibuni. View attachment 2013622View attachment 2013623View attachment 2013624View attachment 2013625View attachment 2013626
Ile raba karithishwa Chakubanga,nilimuona ameivaa sehemu.Hii black ilitaka kufanana na ile ya mwendazake aliyokua ameivaa alipokua amepiga picha akiwa amelala kwenye mawe.