mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,008 Reaction score 5,413 Nov 17, 2021 #1 Wakuuu nauza hizi raba, kwa bei ya jumlaa na reja reja,ninao mzigo wa kutoshaa. Kimoja bei ni 20,kuanzia pc mia bei inaporomoka hasaaa. Karibuni.
Wakuuu nauza hizi raba, kwa bei ya jumlaa na reja reja,ninao mzigo wa kutoshaa. Kimoja bei ni 20,kuanzia pc mia bei inaporomoka hasaaa. Karibuni.
analyst75 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2015 Posts 326 Reaction score 242 Nov 17, 2021 #2 This is awesome! So lovely.
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,853 Reaction score 35,588 Nov 17, 2021 #3 Kwa ajili ya mazoezi zinafaa sana
ney kush JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 1,416 Reaction score 947 Nov 17, 2021 #4 namba zako au tuwasiiane PM TU?
mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,008 Reaction score 5,413 Nov 17, 2021 Thread starter #5 ney kush said: namba zako au tuwasiiane PM TU? Click to expand... Yes,pm
mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,008 Reaction score 5,413 Nov 17, 2021 Thread starter #6 Arovera said: Kwa ajili ya mazoezi zinafaa sana Click to expand... Karibu mkuu
fasiliteta JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 2,598 Reaction score 4,471 Nov 18, 2021 #7 Weka mawasiliano au location inapopatika a
Masokwe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2019 Posts 454 Reaction score 684 Nov 18, 2021 #8 Naomba kujua soli yake ni laini au ni ngumu
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 Nov 18, 2021 #9 Huo mguu uliojaribia kiatu umefukuza wateja
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,768 Reaction score 15,510 Nov 18, 2021 #10 Lusungo said: Huo mguu uliojaribia kiatu umefukuza wateja Click to expand... Angetafuta kasichana kazuri,angepiga picha za promo halafu ndio angetuma humu.mguu wa huyu hauvutii,raba zinaonekana mbaya.
Lusungo said: Huo mguu uliojaribia kiatu umefukuza wateja Click to expand... Angetafuta kasichana kazuri,angepiga picha za promo halafu ndio angetuma humu.mguu wa huyu hauvutii,raba zinaonekana mbaya.
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,489 Reaction score 42,564 Nov 18, 2021 #11 alubati said: Angetafuta kasichana kazuri,angepiga picha za promo halafu ndio angetuma humu.mguu wa huyu hauvutii,raba zinaonekana mbaya. Click to expand... Na huo msuruali wake sasa... asifikiri wanaowalipa warembo kuwafanyia matangazo ni wajinga
alubati said: Angetafuta kasichana kazuri,angepiga picha za promo halafu ndio angetuma humu.mguu wa huyu hauvutii,raba zinaonekana mbaya. Click to expand... Na huo msuruali wake sasa... asifikiri wanaowalipa warembo kuwafanyia matangazo ni wajinga
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,195 Nov 18, 2021 #12 Lusungo said: Na huo msuruali wake sasa... asifikiri wanaowalipa warembo kuwafanyia matangazo ni wajinga Click to expand... Jamani!!!
Lusungo said: Na huo msuruali wake sasa... asifikiri wanaowalipa warembo kuwafanyia matangazo ni wajinga Click to expand... Jamani!!!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,240 Nov 18, 2021 #13 Hii black ilitaka kufanana na ile ya mwendazake aliyokua ameivaa alipokua amepiga picha akiwa amelala kwenye mawe.
Hii black ilitaka kufanana na ile ya mwendazake aliyokua ameivaa alipokua amepiga picha akiwa amelala kwenye mawe.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,057 Reaction score 69,474 Nov 18, 2021 #14 Lusungo said: Huo mguu uliojaribia kiatu umefukuza wateja Click to expand... Guu La Nsajigwa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,057 Reaction score 69,474 Nov 18, 2021 #15 Daudi Mchambuzi said: Hii black ilitaka kufanana na ile ya mwendazake aliyokua ameivaa alipokua amelala kwenye mawe. Click to expand... Mzilankende Mnyago haa
Daudi Mchambuzi said: Hii black ilitaka kufanana na ile ya mwendazake aliyokua ameivaa alipokua amelala kwenye mawe. Click to expand... Mzilankende Mnyago haa
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,057 Reaction score 69,474 Nov 18, 2021 #16 Evelyn Salt said: Jamani!!! Click to expand... Haa
mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,008 Reaction score 5,413 Nov 18, 2021 Thread starter #17 Lusungo said: Na huo msuruali wake sasa... asifikiri wanaowalipa warembo kuwafanyia matangazo ni wajinga Click to expand... Mkuu mbona kama jazba isiyo na maana.
Lusungo said: Na huo msuruali wake sasa... asifikiri wanaowalipa warembo kuwafanyia matangazo ni wajinga Click to expand... Mkuu mbona kama jazba isiyo na maana.
mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,008 Reaction score 5,413 Nov 18, 2021 Thread starter #18 Daudi Mchambuzi said: Hii black ilitaka kufanana na ile ya mwendazake aliyokua ameivaa alipokua amepiga picha akiwa amelala kwenye mawe. Click to expand...
Daudi Mchambuzi said: Hii black ilitaka kufanana na ile ya mwendazake aliyokua ameivaa alipokua amepiga picha akiwa amelala kwenye mawe. Click to expand...
mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,008 Reaction score 5,413 Nov 18, 2021 Thread starter #19 alubati said: Angetafuta kasichana kazuri,angepiga picha za promo halafu ndio angetuma humu.mguu wa huyu hauvutii,raba zinaonekana mbaya. Click to expand... Hiii akili ya kila kitu kufikiria wasichana sidhani kama italivusha taifa hilii
alubati said: Angetafuta kasichana kazuri,angepiga picha za promo halafu ndio angetuma humu.mguu wa huyu hauvutii,raba zinaonekana mbaya. Click to expand... Hiii akili ya kila kitu kufikiria wasichana sidhani kama italivusha taifa hilii
mwanadome JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 5,008 Reaction score 5,413 Nov 18, 2021 Thread starter #20 Masokwe said: Naomba kujua soli yake ni laini au ni ngumu Click to expand... Laini