RA na sisi wana JF (wazalendo) "wendawazimu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RA na sisi wana JF (wazalendo) "wendawazimu"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Julius Kaisari, Dec 29, 2010.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Heshima kwenu wendawazimu wenzangu wanaJF..
  Ndugu, nimelazimika kutumia lugha kali dhidi yangu kwa kujiona ni mwendawazimu (sijui mtakubaliana nami au la,)..kuwa Tanganyika yetu siku za usoni imekuwa kama kichaka( yeyote aweza kujisaidia na kuondoka akijua kimba halitomnukia,bali ajae nyuma yake,) au pango la wahuni ambapo linatawaliwa na sheria za usanii yaani UJANJA KUWAHI NA KUPATA..
  Ndiyo humu jamvini tmekuwa tukijadili yale yale hasa hili la RICHMOND/DOWANS na hadithi ya nani mmiliki..
  Nikweli tunahaki ya kujadili kwa uchungu kabisa,kwakuwa ni jambo la kipumbavu,lisiloingia akilini,Serikali kumlipa mtu asiyejulikana (HOJA ZETU) 185 bilions..
  Ndugu zangu , nikweli mtu aliyepo nje ya ngoma hii, anaweza kutushangaa watanganyika, lakini jibu ni rahisi tu..
  HIVI NI NANI ASIYEJUA UHUSIANO WA RA,EL NA RICHMOND? JE RICHMOND SI DOWANS?
  IF RICHMOND=RA,EL, AND RICHMOND= DOWANS,,,JE KWA LOGIC HII HII, DOWANS=RA,EL?
  Je misingi ya kuumia na kughadhabika juu ya nani anayelipwa hizo 185billion iko wapi? je Ni kwasababu serikali ya kikwete ipo kimya? au tunamuonea wivu RA,EL?
  aCHENI WIVU ZENU....je, ni nani asiyejua kuwa RA alichangia ki-rasilimali kikwete kuingia Ikulu 2005? je mnategemea iko siku kikwete atathubutu kumgusa au kugusa maslahi yoyote ya RA? never??????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!....
  kwa mantiki hii, kwa jambo hili la DOWANS au ni vema kukaa kimya, au kuingia mtaani kuonesha ghadhabu waziwazi....

  Naomba kuwasilisha..
   
 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  ...nikukute wapi kesho mimi na wewe tuanze kuingia mtaani? talk the talk or do the talk,kamanda?
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Ni kweli una uchungu sana , nimekusoma mkuu, unaweza kusema Mungu yupo kwa ajiri ya watu weupe tu, nisilaumiwe kwa kusema ili kiukweli RA ni mtu wa Irani lakini tangia aanze kutunyonya wazi wazi na kutufanya wajinga kwa kumwandalia makazi Igunga ili azidi kutufonza vizuri maana yuko katikati ya nchi hii. naona uchungu sana kutosikilizwa kilio chetu hata kwa Mola wetu ili atuondolee shetan mkubwa RA nchini kwetu tupate uhuru wa kuchagua mabo yetu wenyewe na hoja zetu zikubalike sio yeye (shetani wa Kiarabu) kutuchagulia viungozi wetu kwa kutumia chama cha NEC(samahani kwa wanojua nec) ambacho uchagua tu mtu bila ridhaa ya watanzani. kama kweli Mungu yupo ampe ata upofu asizione hizo hela za kifisadi, ampe ukiziwi aache kumshauri rais wetu mambo mbovu mbovu , nina mengi lakini hasira zimenizidi naelekea kuzimia sasa
   
 4. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Bila RA na EL ccm itakufa na wafuas wake wote watakimbiana.Ukweli ni kwamba wakati wa kampen ndugu yetu huyu alitueleza kule Igunga live bila chenga kuwa kama hukusoma,basi uwe mwanachama wa ccm,kama umesoma basi lete cheti nikupe kazi mgodini,vodacom,newhabari na kwingine ninako miliki.Akasema ccm bila yeye itakufa asubuhi tu.Yeye ndiye supplier wa kampeni na si mwingine.Je,mnajua kama RA anabwia?Hutaamini.Mngekuwepo katika kampeni mngeamini.
   
Loading...