Mzungu awe muislam? Hicho ni kituko cha karne! Washindwe kuwa wakristo na wapagani eti wawe waislam! hapo ni kuuchakachua uislam na kuufutilia mbali duniani. Wameanza kuingiza tamaduni zao kwenye nchi za kiislam kupitia nyanja mbalimbali, wameanza kufanikiwa kuufubaza uislam huko huko kwenye shina lake