Chogotz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 236
- 105
Kama ni mfuatiliaji na muangaliaji wa Bollywood basi huwez kuacha kumuangalia bi mkubwa aitwae SRIDEVI...
Amefariki 24 February 2018 akiwa na miaka 54 huko
Dubai,United Arab Emirates
Kabla ya kifo chake alikuwa anatamba na movie zake matata saana ziitwazo English Vinglish na Mom..
R.I.P SRIDEVI
Amefariki 24 February 2018 akiwa na miaka 54 huko
Dubai,United Arab Emirates
Kabla ya kifo chake alikuwa anatamba na movie zake matata saana ziitwazo English Vinglish na Mom..
R.I.P SRIDEVI