Ni ngumu sana kuamini lakini huu ndio ukweli Mkuu wetu wa shule leo hauko nasi. Anyway huyu alikuwa Mkuu wa shule Nyamongo Secondary 1997_2007
Nyakahanga Secondary 2007_2017
Chabalisa Secondary 2017-2019 January
Poleni sana walimu wenzangu pamoja na wanafunz wa nyakahanga sekondari kwa kifo cha mzee wetu mwalmu wetu Erimelick Kanyabuhura mkuu wa shule mwanzilish nyakahanga sec aliyetutoka dunian. Tutamkumbuka kwa utendaji kaz wake na kwa mapenz yake ,hatuna budi kusema kaz ya mungu haina makosa na mungu ailaze roho yake pema peponi.