R.I.P Dk. Alwyn Mziray (kuagwa leo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

R.I.P Dk. Alwyn Mziray (kuagwa leo)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arsenal, Mar 4, 2011.

 1. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Rest in Peace...Too young...


  Mwili wa aliyekuwa daktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Alwyn Mziray (38) (pichani) ambaye alihusika kwa kiasi kikubwa kuwatibu majeruhi wa milipuko ya mabomu wa Gongo la Mboto, unatarajiwa kuagwa leo jijini Dar es Salaam.

  Dk. Mziray alifariki ghafla Jumapili iliyopita wakati akiwa hotelini mjini Zanzibar.

  Kwa mujibu wa msemaji wa familia, Frank Mziray, ambaye ni kaka wa marehemu, shughuli ya kuagwa kwa mwili wa Dk. Mziray itafanyika nyumbani kwa baba yake mzazi Oysterbay ambapo utalala.

  Alisema kutakuwa na misa na baada ya hapo ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wafanyakazi wenzake watatoa heshima zao za mwisho kisha mwili huo utasafirishwa kuelekea nyumbani kwao Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya maziko yatakayofanyika kesho.

  “Tunatarajia misa ya Ijumaa itaanza asubuhi na shughuli ya kuuaga mwili huo itakuwa kati ya saa 5:00 hadi saa 7:00 mchana, mwili wake utazikwa siku itakayofuata saa 8:00 mchana,” alisema.

  Dk. Mziray alifariki siku hiyo saa 11:00 jioni wakati akiwa na wageni wake kutoka Marekani waliokwenda visiwani humo kwa ajili ya mapumziko.
   
 2. Taluma

  Taluma Senior Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RIP Dr!
   
 3. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  RIP. Wondering though if his favorite skis and polo mallet will go to his grave with him.
   
 4. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Very sad; such a young dedicated Doctor!! Mkuu utakuwa unajua coz of death??
   
 5. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ni mawili Drug overdose or Suicide , ukiona kifo cha kijana cha ghalfa halafu hakizungumziwi sababu yale au hakihusishi masula ya shinikizo la damu, ujue kunakitu kinafichwa.

  Sikuwahi kumfahamu marehemu ila nimesikia ni mtoto wa Dr Andrew, nawafahamu wale wasichana na sikumbuki mara ya mwisho lini nimewaona

  Inaelekea marehemu alikua mtu mzuri sana , maana kila mtu ana sikitika na kushtushwa achia mbali watoto wa kishua wenzangu wanao ataka kuonekana wanamjua sana marehemu nakuacha comments za kuomboleza huko facebook bali mbaka wafanyakazi wenzake wakionekana wakilia huko muhimbili na dhani ni pengo kubwa sana aliloacha , ukizingatia yeye ndio aliye fanikisha kujenga zile ward za magonwg aya masikio na pua hapo Muhimbili.

  R.I.P Alwiyn,
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Vifo vya ghafla havitokani na drug overdose au suicide tu. Shinikizo la damu ni sababu kubwa pia. Pia kifo hakichagui kijana wala mzee, ingawaje inategemewa kijana aishi muda mrefu.
  Kwa kumheshimu marehemu na hasa familia yake, naomba tusibuni sababu za kifo chake, hii inaweza kuwaumiza ndugu wa marehemu. Kama kuna sababu yoyote na ndugu wa marehemu wameamua kutoitaja, tuheshimu siri ya familia.
  Mungu Amlaze Mahala Pema, Dokta.
   
 7. c

  chetuntu R I P

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  R.I.P Alwiny, polen familia katika kipindi hiki kigumu. Mungu aliyehai awape uvumilivu. Amen
   
 8. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  RIP Alwyn!
   
 9. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Nakubali ni vizuri kuheshimu siri ya familia, lakini pia kumbuka huyu jamaa pia ni mtu wa jamii, ni Dr alikua, kinapotokea kifo cha ghafla namna hii, minong'ono laizma iwepona , haswa pale sababu haisemwi na mazingira yana tatanisha , amini hakuna jipya ambalo familia watalisikia kwetu zaidi ya wao kulijua teari.
   
 10. V

  Vogue New Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eternal Rest Grant unto Him, O' Lord, and Let the Perpetual Light Shine Upon Him...
  Through the Mercy of our Our God, May He Rest in Peace.... Amen.
  R.I.P
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  RIP Dr wa ukweli!
   
 12. m

  maselef JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani ndo mungu anajua siku zetu za mwisho. Mengine yanabaki stori
   
 13. V

  Vogue New Member

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I AGREE WITH 'Mtoto Wa Kishua's Comments... ni kweli yamesemwa mengi wengine wamezua labda kawekewa sumu, wengine alitupiwa jini na ndugu wa karibu ambaye alikuwa akimpeleka kwa waganga, hao ndugu wenye full of jelousy because wao hawana elimu and not well off, its like that swahili saying that goes like this: KIKULACHO KI-NGUONI MWAKO.
  Lakini haya yote yangekuwa dismissed if the truth is known, kama alivyosema 'Mtoto wa Kishua'
  But anyways only God knows exactly what happened to him... So at this point we should all just pray for him to be granted Eternal Rest.
  And continue to serve our only ONE AND TRUE GOD, not like some who when meeting us would pretend to be on the same boat as us, believing and have faith in our ALMIGHTY GOD., again secretly they allow themselves to be taken to witchcraft inorder to have their heart's desires... being it of their marrital problems or Barrenness e.t.c.
  Whoever accuses or curse us our God Almighty REVERSES BACK TO THEM... and we indeed live to witness that fact...
  BLESSED BE THE NAME OF THE LORD.
   
 14. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Rest in Peace...
  Nilikuwa simjui huyu Dr...ile katika kusoma hii nimekubali taifa limepoteza kijana.


  "Dr. Alwyn T. Andrew-Mziray, is an emergency medicine trained physician with profound interest in international medicine. He is currently the Director of Emergency Medicine at the Abbott Fund, Tanzania, and the Co-Head of the Emergency Department at Muhimbili National Hospital, bringing the field of emergency care to Tanzania. Alwyn has significant management experience having spent time in healthcare banking on wall-street at Goldman Sachs and Lehman Brothers, and thereafter as a healthcare consultant at Huron Consulting. He also served as principal at the private equity group Bio-Equity Partners which focused on global pandemics.

  Alwyn co-founded WAMATA - USA, a non-governmental organization that works with people affected by HIV/AIDS; and the Lake Tanganyika floating health clinic an organization that focuses on the healthcare needs of the marginalized people of Lake Tanganyika basin. He also sits on the board of Operations Smile in New York. Alwyn trained in emergency medicine at NYPH - Columbia & Cornell where he received the prestigious Augustine D’Orta award, which honors a resident physician who demonstrates outstanding community-minded, grass-roots, oriented political involvement in health policy or community issues.

  Alwyn received the combined MD/iMBA from the University of Chicago – Pritzker School of Medicine and the Graduate School of Business where he concentrated on healthcare management and policy, entrepreneurship and finance. He obtained his BA in Chemistry with honors from the University of Chicago – The College, where he was the GTE fellow in Chemistry, the RWJ/MMEP scholar for health sciences and the I&G scholar in physical sciences.

  Dr Andrew-Mziray is an avid skier, show jumper and polo player and he also speaks Swahili, English, Spanish, French, Kipare with native fluency and is a classical scholar with particular interest in the writings of Catullus, Cicero and Gaius Julius Caesar."

  source: Africa Leadership Initiative East Africa Foundation
   
Loading...