R.I.P Amigoras

R.I.P Amigoras

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415521041628.jpg
 
RIP......hivi ni Amigoras au Amigolas...........?
 
Duh jamaa miaka ya nyuma sana tulikuwa tunakula nae lager mitaa ya Magomeni Kagera. Kweli kila mtu ana siku yake. Hivi alikuwa anaumwa nini? R.I.P Twanga pepeta sugu!
 
Hee!! hivi kweli amefariki?basi kama ni kweli R.I.P
 
Ugonjwa wa moyo umemuindoa. Rip Amigolas mchango wako hapa duniani tutaukumbuka daima.
 
Ugonjwa wa moyo umemuindoa. Rip Amigolas mchango wako hapa duniani tutaukumbuka daima.

Baada ya kutumika sana twangapepeta hatimaye mwaka Jana aliamua kuwa na bendi yake binafsi....!!! Alitimiza ndoto lakini hakuweza kuifurahia, ameondoka R.I.P Amigoras/Amigolas
 
Iddnt knw the name but iknw the face..pole sana familia.rip,bro.!
 
Huyu jamaa hakua na majivuno kama wanamuziki wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom