QURAN: Wapalestina ni wavamizi

QURAN: Wapalestina ni wavamizi

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,250
Reaction score
26,639
WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN

Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo

Qur’an 5:20–21

Na Musa akawaambia watu wake

“Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu, alipowafanya manabii miongoni mwenu, na akakufanyeni wafalme, na akakupeni msichopewa yeyote katika walimwengu. Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuwekeeni, wala msirudi nyuma, msije mkageuka wakhasiri.”

Qur’an 17:104

Na baada ya Firauni, tukawaambia Wana wa Israel: “Kaeni katika ardhi; na utakapokuja ahadi ya Akhera, tutawakusanya pamoja.”

Qur’an inakiri kuwa Mwenyezi Mungu aliwapa Waisraeli ardhi hiyo kama urithi.

Musa aliwahimiza watu wake waingie katika Ardhi Takatifu ambayo tayari imewekwa kwa ajili yao.

Hakuna popote pale Quran inawataja Wapalestina, au waislamu wapewe Ardhi ya Israel

Gaza watachapwa sana ,kwasasa imebaki asilimia kubwa ,Wana wa Yakobo warudishe Ardhi Yao yote iliyoporwa na Wahuni wakipalestina

WAPALESTINA NI WAVAMIZI

FB_IMG_1757607136441.jpg
 
Kurani yenyewe imewakuta waisrael wakiwa kwenye ardhi yao, huyo muarabu wakati anaanzisha hiyo dini, Wayahudi walikua wameishi kwenye ardhi yao miaka mingi tu.
 
Sasa hivi wanataka Ardhi ya watu
 
View attachment 3473884
Na sasa hivi Islamist Erdoğan anataka kujichanganya.

View: https://x.com/FrontalForce/status/1968292560436338966
 
Waisraeli waliosilimu ktk uyahudi kama kina gwajima na mwamposa, watambuliwe na wapewe stahiki zao kama wale waPoland.
 
Kurani yenyewe imewakuta waisrael wakiwa kwenye ardhi yao, huyo muarabu wakati anaanzisha hiyo dini, Wayahudi walikua wameishi kwenye ardhi yao miaka mingi tu.

Wapalestina ndo wana wa Israel halisi, hao akina Netanyahu ni wayahudi feki, asili yao ni huko Khazaria ulaya mashariki.
 
Back
Top Bottom