Quran inasema Issa bin Maryam ni Mkuu kuliko Mohamad na ndo anastahili kufuatwa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini?

Ushahidi kutoka Qur’an
Surat Maryam (19:16–21):

“Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka pembeni sehemu ya mashariki.
Akajitenga nao kwa pazia, nasi tukampelekea roho yetu (Jibril), akamtokea kama mwanaume mkamilifu.
Akasema: ‘Hakika mimi najilinda kwa Mwenyezi Mungu dhidi yako, ikiwa unamcha Mungu.’
Akasema: ‘Mimi ni mjumbe wa Mola wako, ili nikupatie mwana safi.’
Akasema: ‘Nitakuwaje na mwana hali mimi sijaguswa na mwanaume yeyote?’
Akasema: ‘Ndio hivyo; Mola wako amesema: Hayo ni mepesi kwangu, ili tumfanye kuwa ni ishara kwa watu na rehema itokayo kwetu.’”
(Maryam 19:16–21)

Lakini unaona kuwa huyu Mjumbe anajitambulisha yeye ni nani. Hakumkaba Maryam hamutia kashkash. Alijitambulisha.

🔹 Hapa tunajifunza wazi kuwa:
Mariamu (Maryam) alibeba mimba bila kuguswa na mwanaume.

Quran inasema ISA alibebwa kwenda Mbinguni. Itaje pia mtu mwingine ambaye hakufa alipaa na pia hakuzaliwa kwa mume na mke

Surah An-Nisā (4:157–158)
وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ... بَل رَّفَعَهُ ٱللَّهُ إِلَيْهِ ۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمًا

“Wala hawakumuuwa, wala hawakumsulibisha, bali iliwadhihirikia hivyo tu. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake...”

🔹 Maana: Isa hakuuliwa wala kusulubiwa — Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake.
Hii inaonyesha kwamba yuko hai, si kwamba alikufa.

Quran inaposema Isa ni alama ya Kiyama maana yake nini? Na kwa nini yeye ashuke na si Muhamad? Kati ya Muhamad na Isa nani Mkubwa? Je kwa nini umfuate mdogo badala ya mkubwa wake? Je isa imetajwa mara ngapi katika Quran? Muhamad mara ngapi? Je kuna maelezo ya kuzaliwa Muhamad ya kina kama ya Isa?

Surah Az-Zukhruf (43:61)
وَإِنَّهُ لَعِلْمٌ لِلسَّاعَةِ فَلَا تَمْتَرُنَّ بِهَا وَاتَّبِعُونِ ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ
“Na hakika yeye (Isa) ni alama ya Saa (Kiyama), basi msitilie shaka, na nifuateni; huu ndio njia iliyo nyoofu.”

Tafsiri:
Neno “عِلْمٌ لِلسَّاعَةِ” (alama ya Saa) linafasiriwa na wanazuoni wengi (Ibn ‘Abbas, Mujahid, Qatadah, na wengine) kwamba:
“Kurudi kwa Isa bin Mariamu duniani ndiyo mojawapo ya alama za Kiyama.”

Utagundua kuwa Waislamu walijichanganya pakubwa sana kuhusu kuichukua story ya Isa kuiweka kwenye Quran. Inaonesha ukubwa wa Isa kuliko wa Muhamad.
 
Umenena vyema Bro.

Pia kuna haya mawili.

1. Timing ya Quran kuamini Torat. Injili na Zaburi imefanya Uislam uonekane ni dini isiyo na mising yake yenyewe.

Hoja ya kusema ni kitabu cha mwisho ni mfu sana. Ukitumia akili tu kidogo unaona kabisa ni namna ya kuhalaliasha Quran ikubalike.

2. Mtume ameunganisha Miungu ya kipagan na kusema kuna Mungu mmoja . Ambaye ni Allah. Na ambaye aliabudiwa na Mussa nk na anaabudiwa na Wayahudi.

Sasa kama unamuanini Mungu huyo huyo mmoja (Allah). Utaitaje watu wanaomuamudu Mungu huyo huyo mmoja ila kwa imani nyingne (wakristo) kuwa ni Makafiri na Siku ya kiama watahukumiwa?.
Wakat ni Mungu huyo huyo mmoja.
Ina maana kabla ya mwaka 640. Watu wote wa nyuma walikuwa makafiri na wako Jehanamu?

Hii pia Mtume amejikoroga.
 
Kichwa chake hakikuwa sawa. Alikiwa anajichanganya sana . Nadhani pia kutojua kusoma na kuandika. So akawa akisikia sikia jambo haendi kusoma analibeba bila kufanya utafiti analisumulia. Kawaida ya watu wasio na elimu ya jambo flani.
 
Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini?

Ushahidi kutoka Qur’an
Surat Maryam (19:16–21):

“Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka pembeni sehemu ya mashariki.
Akajitenga nao kwa pazia, nasi tukampelekea roho yetu (Jibril), akamtokea kama mwanaume mkamilifu.
Akasema: ‘Hakika mimi najilinda kwa Mwenyezi Mungu dhidi yako, ikiwa unamcha Mungu.’
Akasema: ‘Mimi ni mjumbe wa Mola wako, ili nikupatie mwana safi.’
Akasema: ‘Nitakuwaje na mwana hali mimi sijaguswa na mwanaume yeyote?’
Akasema: ‘Ndio hivyo; Mola wako amesema: Hayo ni mepesi kwangu, ili tumfanye kuwa ni ishara kwa watu na rehema itokayo kwetu.’”
(Maryam 19:16–21)

Lakini unaona kuwa huyu Mjumbe anajitambulisha yeye ni nani. Hakumkaba Maryam hamutia kashkash. Alijitambulisha.

🔹 Hapa tunajifunza wazi kuwa:
Mariamu (Maryam) alibeba mimba bila kuguswa na mwanaume.

Quran inasema ISA alibebwa kwenda Mbinguni. Itaje pia mtu mwingine ambaye hakufa alipaa na pia hakuzaliwa kwa mume na mke

Surah An-Nisā (4:157–158)
وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ... بَل رَّفَعَهُ ٱللَّهُ إِلَيْهِ ۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمًا

“Wala hawakumuuwa, wala hawakumsulibisha, bali iliwadhihirikia hivyo tu. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake...”

🔹 Maana: Isa hakuuliwa wala kusulubiwa — Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake.
Hii inaonyesha kwamba yuko hai, si kwamba alikufa.

Quran inaposema Isa ni alama ya Kiyama maana yake nini? Na kwa nini yeye ashuke na si Muhamad? Kati ya Muhamad na Isa nani Mkubwa? Je kwa nini umfuate mdogo badala ya mkubwa wake? Je isa imetajwa mara ngapi katika Quran? Muhamad mara ngapi? Je kuna maelezo ya kuzaliwa Muhamad ya kina kama ya Isa?

Surah Az-Zukhruf (43:61)

“Na hakika yeye (Isa) ni alama ya Saa (Kiyama), basi msitilie shaka, na nifuateni; huu ndio njia iliyo nyoofu.”

Tafsiri:
Neno “عِلْمٌ لِلسَّاعَةِ” (alama ya Saa) linafasiriwa na wanazuoni wengi (Ibn ‘Abbas, Mujahid, Qatadah, na wengine) kwamba:
“Kurudi kwa Isa bin Mariamu duniani ndiyo mojawapo ya alama za Kiyama.”

Utagundua kuwa Waislamu walijichanganya pakubwa sana kuhusu kuichukua story ya Isa kuiweka kwenye Quran. Inaonesha ukubwa wa Isa kuliko wa Muhamad.
Huyo mola ni nani tena kati ya hao.
Yaani muhamad na issa na mola ni watu 3 tofauti
 
Ulichosahau
1. Waislam wanamuamini issa bila shida
2. Waislam wanaamini Issa hajafa, atarudi, atalingania dini ya uislam, then ndo kiaama kitakuja
3. Wanaamini Issa hakuletwa kwa ukimwengu mzima, aliletwa kwa watu wa Israel pekee
4. Wanaamini, Yesu hakukamilisha dini, ndo maana Yesu hakuoa, hajaelezea mirathi, hakuamzisha dola,
5. Wanaamini, Muhammad ndo ntume wa mwisho, na ameikamilisha dini aliekuja naye Yesu, na akaambiwa aipeleke duniani kote, ndo maana akaamzisha dola, na akasababisha dunia itawaliwe na uislam
6. Wanaamini, Yesu atakuja kuipigania dini ya kiislamu, pindi atakaporudi duniani
 
MUHAMMAD SIYO MTUME WA MUNGU MTAKATIFU NA UKRISTO WA SASA UMEPOTOSHWA HIYO UMEKUWA SAWA NA UISLAMU TU HAKUNQ WOKOVU NDANI YAKE ..
Tofauti ya uislamu na ukristo ni hizi mbili
1)UISLAMU NDIYO UNAO WAPOTOSHA WAISLAMU
2)WAKRISTO NDIYO WANAO UPOTOSHA UKRISTO...
Hivyo ukristo upo sawa ni wakristo wenyewe kwa upumbavu wao wanauhalibu ukristo ....kwenye Uislamu...wenyewe uislamu ndiyo upotovu na wenyewe ndiyo unawapotosha waislamu.
 
Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini?

Ushahidi kutoka Qur’an
Surat Maryam (19:16–21):

“Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka pembeni sehemu ya mashariki.
Akajitenga nao kwa pazia, nasi tukampelekea roho yetu (Jibril), akamtokea kama mwanaume mkamilifu.
Akasema: ‘Hakika mimi najilinda kwa Mwenyezi Mungu dhidi yako, ikiwa unamcha Mungu.’
Akasema: ‘Mimi ni mjumbe wa Mola wako, ili nikupatie mwana safi.’
Akasema: ‘Nitakuwaje na mwana hali mimi sijaguswa na mwanaume yeyote?’
Akasema: ‘Ndio hivyo; Mola wako amesema: Hayo ni mepesi kwangu, ili tumfanye kuwa ni ishara kwa watu na rehema itokayo kwetu.’”
(Maryam 19:16–21)

Lakini unaona kuwa huyu Mjumbe anajitambulisha yeye ni nani. Hakumkaba Maryam hamutia kashkash. Alijitambulisha.

🔹 Hapa tunajifunza wazi kuwa:
Mariamu (Maryam) alibeba mimba bila kuguswa na mwanaume.

Quran inasema ISA alibebwa kwenda Mbinguni. Itaje pia mtu mwingine ambaye hakufa alipaa na pia hakuzaliwa kwa mume na mke

Surah An-Nisā (4:157–158)
وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ... بَل رَّفَعَهُ ٱللَّهُ إِلَيْهِ ۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمًا

“Wala hawakumuuwa, wala hawakumsulibisha, bali iliwadhihirikia hivyo tu. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake...”

🔹 Maana: Isa hakuuliwa wala kusulubiwa — Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake.
Hii inaonyesha kwamba yuko hai, si kwamba alikufa.

Quran inaposema Isa ni alama ya Kiyama maana yake nini? Na kwa nini yeye ashuke na si Muhamad? Kati ya Muhamad na Isa nani Mkubwa? Je kwa nini umfuate mdogo badala ya mkubwa wake? Je isa imetajwa mara ngapi katika Quran? Muhamad mara ngapi? Je kuna maelezo ya kuzaliwa Muhamad ya kina kama ya Isa?

Surah Az-Zukhruf (43:61)

“Na hakika yeye (Isa) ni alama ya Saa (Kiyama), basi msitilie shaka, na nifuateni; huu ndio njia iliyo nyoofu.”

Tafsiri:
Neno “عِلْمٌ لِلسَّاعَةِ” (alama ya Saa) linafasiriwa na wanazuoni wengi (Ibn ‘Abbas, Mujahid, Qatadah, na wengine) kwamba:
“Kurudi kwa Isa bin Mariamu duniani ndiyo mojawapo ya alama za Kiyama.”

Utagundua kuwa Waislamu walijichanganya pakubwa sana kuhusu kuichukua story ya Isa kuiweka kwenye Quran. Inaonesha ukubwa wa Isa kuliko wa Muhamad.
Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini?

Ushahidi kutoka Qur’an
Surat Maryam (19:16–21):

“Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka pembeni sehemu ya mashariki.
Akajitenga nao kwa pazia, nasi tukampelekea roho yetu (Jibril), akamtokea kama mwanaume mkamilifu.
Akasema: ‘Hakika mimi najilinda kwa Mwenyezi Mungu dhidi yako, ikiwa unamcha Mungu.’
Akasema: ‘Mimi ni mjumbe wa Mola wako, ili nikupatie mwana safi.’
Akasema: ‘Nitakuwaje na mwana hali mimi sijaguswa na mwanaume yeyote?’
Akasema: ‘Ndio hivyo; Mola wako amesema: Hayo ni mepesi kwangu, ili tumfanye kuwa ni ishara kwa watu na rehema itokayo kwetu.’”
(Maryam 19:16–21)

Lakini unaona kuwa huyu Mjumbe anajitambulisha yeye ni nani. Hakumkaba Maryam hamutia kashkash. Alijitambulisha.

🔹 Hapa tunajifunza wazi kuwa:
Mariamu (Maryam) alibeba mimba bila kuguswa na mwanaume.

Quran inasema ISA alibebwa kwenda Mbinguni. Itaje pia mtu mwingine ambaye hakufa alipaa na pia hakuzaliwa kwa mume na mke

Surah An-Nisā (4:157–158)
وَمَا قَتَلُوهُ وَمَا صَلَبُوهُ وَلَـٰكِن شُبِّهَ لَهُمْ ... بَل رَّفَعَهُ ٱللَّهُ إِلَيْهِ ۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمًا

“Wala hawakumuuwa, wala hawakumsulibisha, bali iliwadhihirikia hivyo tu. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake...”

🔹 Maana: Isa hakuuliwa wala kusulubiwa — Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake.
Hii inaonyesha kwamba yuko hai, si kwamba alikufa.

Quran inaposema Isa ni alama ya Kiyama maana yake nini? Na kwa nini yeye ashuke na si Muhamad? Kati ya Muhamad na Isa nani Mkubwa? Je kwa nini umfuate mdogo badala ya mkubwa wake? Je isa imetajwa mara ngapi katika Quran? Muhamad mara ngapi? Je kuna maelezo ya kuzaliwa Muhamad ya kina kama ya Isa?

Surah Az-Zukhruf (43:61)

“Na hakika yeye (Isa) ni alama ya Saa (Kiyama), basi msitilie shaka, na nifuateni; huu ndio njia iliyo nyoofu.”

Tafsiri:
Neno “عِلْمٌ لِلسَّاعَةِ” (alama ya Saa) linafasiriwa na wanazuoni wengi (Ibn ‘Abbas, Mujahid, Qatadah, na wengine) kwamba:
“Kurudi kwa Isa bin Mariamu duniani ndiyo mojawapo ya alama za Kiyama.”

Utagundua kuwa Waislamu walijichanganya pakubwa sana kuhusu kuichukua story ya Isa kuiweka kwenye Quran. Inaonesha ukubwa wa Isa kuliko wa Muhamad.
MUHAMMAD SIYO MTUME WA MUNGU MTAKATIFU NA UKRISTO WA SASA UMEPOTOSHWA HIYO UMEKUWA SAWA NA UISLAMU TU HAKUNQ WOKOVU NDANI YAKE ..
Tofauti ya uislamu na ukristo ni hizi mbili
1)UISLAMU NDIYO UNAO WAPOTOSHA WAISLAMU
2)WAKRISTO NDIYO WANAO UPOTOSHA UKRISTO...
Hivyo ukristo upo sawa ni wakristo wenyewe kwa upumbavu wao wanauhalibu ukristo ....kwenye Uislamu...wenyewe uislamu ndiyo upotovu na wenyewe ndiyo unawapotosha waislamu AL-mukheef FaizaFoxy Covax Jagina Malaria 2 adriz Mufti kuku The Infinity
 
Back
Top Bottom