T tynetrick Member Joined Oct 30, 2012 Posts 37 Reaction score 4 Jan 4, 2013 #21 Mwanamalundi said: Ona huyu naye. sijui ndo ameanzisha mada gani. Umenikwaza sana. Click to expand... pooooleee bt mbona yupo ryt. nn shidaaa au yanakusumbua???
Mwanamalundi said: Ona huyu naye. sijui ndo ameanzisha mada gani. Umenikwaza sana. Click to expand... pooooleee bt mbona yupo ryt. nn shidaaa au yanakusumbua???
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Jan 4, 2013 #22 kiwatengu said: Mkuu fazaa! jana ile hoja yangu ya kuwakumbuka sabato masalia! mods wameitoa bana..sijui ilikuwa inamakosa gani..nilitaka kufahamu kuhusu kundi la YESU NI JIBU... Click to expand... Ahhh mimi ni mfuasi wa Yesu kwa kupitia Prophet Muhammad sio kina Paul.
kiwatengu said: Mkuu fazaa! jana ile hoja yangu ya kuwakumbuka sabato masalia! mods wameitoa bana..sijui ilikuwa inamakosa gani..nilitaka kufahamu kuhusu kundi la YESU NI JIBU... Click to expand... Ahhh mimi ni mfuasi wa Yesu kwa kupitia Prophet Muhammad sio kina Paul.
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,489 Reaction score 18,372 Jan 4, 2013 #23 fazaa said: Ahhh mimi ni mfuasi wa Yesu kwa kupitia Prophet Muhammad sio kina Paul. Click to expand... Fantastic! mkuu nimeipenda sana hii. naomba unipe hayo maarifa vizur, na kuna weng sana huku watanufaika na hyo elimu. maza 1 aliwah nidokezea hii
fazaa said: Ahhh mimi ni mfuasi wa Yesu kwa kupitia Prophet Muhammad sio kina Paul. Click to expand... Fantastic! mkuu nimeipenda sana hii. naomba unipe hayo maarifa vizur, na kuna weng sana huku watanufaika na hyo elimu. maza 1 aliwah nidokezea hii
fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Jan 4, 2013 #24 kiwatengu said: Fantastic! mkuu nimeipenda sana hii. naomba unipe hayo maarifa vizur, na kuna weng sana huku watanufaika na hyo elimu. maza 1 aliwah nidokezea hii Click to expand... Si unaju mimi huwa simpingi Yesu, mana alisha sema Yeye kaja kwa Kondoo tu wa kiyahudi, nikimpinga takuwa simfuasi wake :biggrin1: Basi tena tuwache mambo ya dini, mkileta leta dini hapa mimi naonekana mbaya kwa kuwapa watu ukweli, mana siogopi kitu 😛oa
kiwatengu said: Fantastic! mkuu nimeipenda sana hii. naomba unipe hayo maarifa vizur, na kuna weng sana huku watanufaika na hyo elimu. maza 1 aliwah nidokezea hii Click to expand... Si unaju mimi huwa simpingi Yesu, mana alisha sema Yeye kaja kwa Kondoo tu wa kiyahudi, nikimpinga takuwa simfuasi wake :biggrin1: Basi tena tuwache mambo ya dini, mkileta leta dini hapa mimi naonekana mbaya kwa kuwapa watu ukweli, mana siogopi kitu 😛oa
Chris_Mambo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 595 Reaction score 122 Jan 5, 2013 #25 gmosha48 said: Ngoswe hiyo! Click to expand... Certainly!
lara 1 JF-Expert Member Joined Jun 10, 2012 Posts 15,700 Reaction score 29,208 Jan 5, 2013 #27 They do not love that do not show their love. The course of true love never did run smooth. Love is a familiar. Love is a devil. There is no evil angel but Love." William Shakespear
They do not love that do not show their love. The course of true love never did run smooth. Love is a familiar. Love is a devil. There is no evil angel but Love." William Shakespear
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,524 Jan 5, 2013 #28 Mwanamalundi said: Ona huyu naye. sijui ndo ameanzisha mada gani. Umenikwaza sana. Click to expand... Mkuu Mwanamalundi!Pole qa masaibu yaliyokukuta; Vipi umemuacha au mumeachana? Bazazi! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanamalundi said: Ona huyu naye. sijui ndo ameanzisha mada gani. Umenikwaza sana. Click to expand... Mkuu Mwanamalundi!Pole qa masaibu yaliyokukuta; Vipi umemuacha au mumeachana? Bazazi!
Bazazi JF-Expert Member Joined Aug 18, 2008 Posts 2,806 Reaction score 3,524 Jan 5, 2013 #29 Sex is a momentary itch, never let love ruins your life. Bazazi!