Questions about Pharmacy and pharmacists

hawa watu wanapotezana hawa... yani mtu hajui hata chuo kikoje alafu anamshauri mwenzake mambo ya chuo
 
kweli mnajua muaibisha mtu, ha ha ha ha
 
What is pharmacy? What's the impotance of pharmacists? What do pharmacists do?
Mfamasia
: Anafanya kazi kwenye drug regulatory authority kama TFDA kwa kuhakikisha dawa zinazotengenezwa na kuingizwa ni salama,zina ubora na zinafanya kazi vizuri

: Anafanya kazi hospitali kwa kutoa taarifa kuhusu dawa kwa health care professionals wengine,kutoa dawa na kuhakikisha dawa zinatumika vizuri na mgonjwa

: Anafanya kazi kwenye community pharmacy kwa kusikikiliza direct complaints na kutoa dawa zisizohitaji prescription kwa wagonjwa na kuwashauri namna nzuri ya kutumia

: Anafanya kazi kwenye academic institutions,mfano walimu pale school of pharmacy MUHAS ni wafamasia

: Anafanya kazi viwandani kutengeneza dawa,mfano pale Zenufa,Shellys,Keko na vingine kuna wafamasia wengi tu wanatengeneza dawa

: Anafanya research and development of drugs,hii ni kazi yake.Anasoma medicinial chemistry na pharmacognosy ili aweze kugundua dawa mpya.Mfano wafamasia waligundua venom ya nyigu ina anti cancer activity

Kama kuna nilizosahau mtaongezea.Mfamasia ni health care professional mwenye taarifa nyingi kuhusu dawa kuliko mwingine yoyote kuanzia nature,mechanism of action,indication,contraindication,adverse effects,drug drug interactions,food drug interactions,etc etc etc

Mfamasia ndio mshauri wa daktari(bongo a pharmacist can not prescribe) kuhusu dawa,hivyo baada ya diagnosis,dokta njoo nikupe best choices ya dawa for that particular disease

Happy pharmacist day to all (25/9/2016)
 

Jamani Kwani Mumelazimishwa Muvute Bangi? Kama Hamuiwezi Si Wacheni tu Kuvuta!!!

Kwanza Nani Aliyewaambia Kazi Ya Pharmacist Ni Kugawa Dawa Dirishani (Dispensing)! Ni Wazi Kuwa Hamujui Kutofautisha Kati Ya "Pharmaceutical Technician na Pharmacist" Ndiyomaana Mukasema Mfamasia Anagawa Dawa!!

Wewe Umeulizwa Kazi Ya Mfamasia ni ipi? Unajibu Bongo Hakuna Viwanda Vya Dawa. Je Ukiulizwa ni ipi Kazi ya Car Mechanic? Utajibu Bongo Hakuna Viwanda Vya Magari Kwahiyo Watu Wasisome Mechanical Engineering??

Musijitie Aibu Kama Jambo Hamujui Bora Kunyamaza!! Hebu Nendeni TFDA au Kwenye Mabohari Ya Dawa (Medical Stores) Mukaulizie Nini Kazi Za Wafamasia Uone Kama Doctor au Mtu Wa Maabara Atafanya Research au Kutibu Bila Ya Mfamasia.


 
hata dip bado ana dic pharmacy
 
 
Kada zote za afya zina mchango katika tafiti za afya.Pharmacist,Lab scientist na MD.inategemea na tafiti inayotaka fanyika mfano:maswala ya antibiotics lab scientist huusika kwa kiasi kikubwa,MD kweny tafiti za pathophysiology disorders kama kisukar(mellitus),cancer na Pharmacist nae kwenye drugs na mwili [therapeutic effects] pamoja na research za control side impacts za dawa. Wote hawa wataalam hutegemeana kwa kiasi kikubwa,ili dawa itengenezwe,kuanzia kweny utafiti wa ugonjwa husika mpaka kutoka kwa drug(dawa) mpya. So hakuna aliyebora zaidi ya mwingine kila mmoja anafaida kwa nafasi yake.Ndo maana hata ada zake kweny medical schools zinafanana au kukaribiana kufanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…