Questionaire: Ungependa software gani kwa bei gani?

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
watanzania tumekuwa walalamishi kuwa hakuna watu innovative wa kufany vitu vipya. Nikaona nijaribu kufanya survey kama ikitokea mtu aka develop software itanunulika?
Here we go, ungependa kuona software gani iko sokoni Tanzania na ungenunua kwa shilingi ngapi? Au consultancy ya kitu gani AFA ICT is concerned? Ungekuwa tayari kulipia kiasi gani per consultancy?
Serious please no puns and funny....
 

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
538
86
Software itakayo unganisha mitandao ya jamii hasa ya hapa bongo,ktk simu na pc .Si ivyo tu kuwezesha mtumiaji wa simu kufungua zaidi ya kurasa moja kwa wakati mmoja...Gharama zinategemea na wewe mtengenezaji ila kwa uwezo wa mtanzania wa kawaida.
 

HT

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,897
413
una maana ya mitandao ipi? Uko tayari kulipia sh ngapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom